Ni jambo la kipumbavu sana kwa mtu kuombea ndoa ya mtu mwingine ivunjike, huna akili ww mtu. Unajua kuwa ndoa ni mpango wa Mungu? Unajua kuwa kuna familia hapo? How come wewe ujitokeze kutaka ndoa ya mtu ivunjike, au unataka uolewe wewe? Shame kabisa