James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Usiende mbali mimi hapa nipo hapahapa karibu hahahhahaWewe umeshakiri kwamba unacheat na wala sijakuuliza kama unacheat au haucheat. Ninachojua wanaume ambao hawacheat kwa sababu yoyote ile wapo, hata kama wako wawili Africa nzima suala ni wapo
Na wewe mmojawapo eeh? Hebu mwambie huyo ivuga si kila mwanaume anatembea amefungua zipuUsiende mbali mimi hapa nipo hapahapa karibu hahahhaha
Atakuwa ashasoma hapa.Na wewe mmojawapo eeh? Hebu mwambie huyo ivuga si kila mwanaume anatembea amefungua zipu
Bila shakaAtakuwa ashasoma hapa.
Gwajiboy baada ya kuona anaumbuka, akampasia Daud, na kuna siku Mbasha alisema, niliemuoa nimemkosa, aliemzalisha mtoto wa pili kamkosa, kaolewa na mwingine.Hivi kumbe frola yule daudi wake kapasiwa na gwajiboy?
Takwiu zangu naona watu wenye wake wazuri ndio wanao ongoza kuchepukaHujaona kifaa alichokuwa anakinyunyizia protini naona. Pale namuunga mkono baba askofu... tatizo kabinti kenyewe hakajui kutoa ushirikiano mpk ikamkazibu baba askofu akakatikie ndombolo ya solo...
Hata mimi nimehisi hivyo. Mzee wa utafiti akitoka hapa atakuwa amefanikiwa sana!!
Hata mimi nimehisi hivyo. Mzee wa utafiti akitoka hapa atakuwa amefanikiwa sana!!
Hata mimi nimehisi hivyo. Mzee wa utafiti akitoka hapa atakuwa amefanikiwa sana!!
Kwanza kabisa namshukuru Mungu Leo nimezidi kuamini kwamba kutakuwepo na manabii wa uongo.
Pili Mungu anatufungua macho wanadamu tuone Na tutambue kweli ipo wapi.
Naerejea kwako Mrs. Grace Gwajima. Kwa wasiomfahamu Grace Gwajima ndiye mke halali wa Josephat Gwajima. Ni mama wa msomi aliezaa na Gwajima watoto 3.
Kwa mliowahi kusali au kukutana na Gwajima mtaungana na mimi kwamba Gwajima ni mzee wa totoz na mama Grace amevumilia kwa muda sana.
Nilishawahi kumkuta live Gwajima akiwa na mmoja wa waimba kwaya wake enzi hizo (Linah Sanga) pale Ubungo Maji wakiwa katika pozi tata sana tena saa 6 usiku baada ya mkesha; sikujua nini kiliendelea baada ya hapo.
Kuna wakati tena muda wa usiku Bi Grace kushuka kwa kushtukiza kwenye ofisi za Gwajima na kumkuta na moja wa waimba kwaya wake. For the first time nilimuona Gwajima akiwa anatetemeka na kumuomba msamaha mke wake.
Kwanini nasema Bi Grace it's time for you to go?
Umevumilia mengi na scandal nyingi kwa mume wako achilia mbali ya kutoka na Frola Mbasha. (which is true 99%).
Kwa hili Gwajima kuchepuka tena kajirekodi Halafu pale ni nyumbani kwako GRACE amevuka mipaka.
Nenda zako kaendelee kufundisha London ulikokuwa.
You are better than that.
Utakuwa unasema ukweli mwasu,Insta kila anachopost Gwajiboy, daudi anasifia sana na like nyingiGwajiboy baada ya kuona anaumbuka, akampasia Daud, na kuna siku Mbasha alisema, niliemuoa nimemkosa, aliemzalisha mtoto wa pili kamkosa, kaolewa na mwingine.
Siyo wote dada yangu. Haya matatizo ya ku cheat kwa kiwango kikubwa yapo Africa kwa wingi sana. Sijaelewa sababu ni nini. Kwenye civilized society, the woman is one, and that woman is your wife.Ila wanaume aseeee!
Ni kweli sio wote, ila ndio hivyo kama ulivyosema ni wengiSiyo wote dada yangu. Haya matatizo ya ku cheat kwa kiwango kikubwa yapo Africa kwa wingi sana. Sijaelewa sababu ni nini. Kwenye civilized society, the woman is one, and that woman is your wife.
Ngoja amfunze adabu kijana wa nyegezi fishering
Mimi natafuta video yako na nyani ngabu bila shaka ulikata mauno vizuriMke wa gwajima kakuabishaaa sana 😂😂😂