Mke wa Askofu Gwajima umevumilia mengi, “it's time to go”

Hujaona kifaa alichokuwa anakinyunyizia protini naona. Pale namuunga mkono baba askofu... tatizo kabinti kenyewe hakajui kutoa ushirikiano mpk ikamkazibu baba askofu akakatikie ndombolo ya solo...
Takwiu zangu naona watu wenye wake wazuri ndio wanao ongoza kuchepuka
 
Ila mama grace anafaidi lol..maana Gwajiboy ana mauno hatari
 
Kwanza kabisa namshukuru Mungu Leo nimezidi kuamini kwamba kutakuwepo na manabii wa uongo.

Pili Mungu anatufungua macho wanadamu tuone Na tutambue kweli ipo wapi.

Naerejea kwako Mrs. Grace Gwajima. Kwa wasiomfahamu Grace Gwajima ndiye mke halali wa Josephat Gwajima. Ni mama wa msomi aliezaa na Gwajima watoto 3.

Kwa mliowahi kusali au kukutana na Gwajima mtaungana na mimi kwamba Gwajima ni mzee wa totoz na mama Grace amevumilia kwa muda sana.

Nilishawahi kumkuta live Gwajima akiwa na mmoja wa waimba kwaya wake enzi hizo (Linah Sanga) pale Ubungo Maji wakiwa katika pozi tata sana tena saa 6 usiku baada ya mkesha; sikujua nini kiliendelea baada ya hapo.

Kuna wakati tena muda wa usiku Bi Grace kushuka kwa kushtukiza kwenye ofisi za Gwajima na kumkuta na moja wa waimba kwaya wake. For the first time nilimuona Gwajima akiwa anatetemeka na kumuomba msamaha mke wake.

Kwanini nasema Bi Grace it's time for you to go?
Umevumilia mengi na scandal nyingi kwa mume wako achilia mbali ya kutoka na Frola Mbasha. (which is true 99%).

Kwa hili Gwajima kuchepuka tena kajirekodi Halafu pale ni nyumbani kwako GRACE amevuka mipaka.

Nenda zako kaendelee kufundisha London ulikokuwa.

You are better than that.

Wewe ndiye unayempangilia mambo yake? Kwani wewe ndiye uliyemwambia akubali kuolewa na Gwajima?

Mwenye maamuzi ni huyo Grace na si vinginevyo.

Pambana na hali yako, achana na mambo ya ndoa za watu
 
Gwajiboy baada ya kuona anaumbuka, akampasia Daud, na kuna siku Mbasha alisema, niliemuoa nimemkosa, aliemzalisha mtoto wa pili kamkosa, kaolewa na mwingine.
Utakuwa unasema ukweli mwasu,Insta kila anachopost Gwajiboy, daudi anasifia sana na like nyingi
 
Mwenyewe mwenye mume ameweza kuvumilia wewe unateseka nini
 
Ila wanaume aseeee!
Siyo wote dada yangu. Haya matatizo ya ku cheat kwa kiwango kikubwa yapo Africa kwa wingi sana. Sijaelewa sababu ni nini. Kwenye civilized society, the woman is one, and that woman is your wife.
 
Ni kweli sio wote, ila ndio hivyo kama ulivyosema ni wengi
 
Ngoja amfunze adabu kijana wa nyegezi fishering
IMG-20190511-WA0082.jpg
 
SAWA unamwambia GRACE aasi dini, aachane na mme wake wa ndoa kwa HAYO Makosa ya MMEWE, GRACE SIO MPUMBAVU NA MJINGA KIASI HICHO.

Pili Grace akiondoka UNATAKA UOLEWE WEWE? ili uvumilie maana yeye hasitahili kuvumilia.

UJINGA WAKO NI MWINGI KULIKO MAJI YA BAHARI ZOTE.

GRACE kuna raha na taabu, misalaba na mvinyo. PAMBANIA NDOA YAKO KWA HEKIMA HADI MWISHO

Back
Top Bottom