TANZIA Mke wa Augustine Lyatonga Mrema afariki dunia

Pole sana Waziri wa mambo ya ndani wa zamani na naibu wa waziri Mkuu Augustino Mrema na wote walioguswa na msiba huo,
Rest easy kwa marehemu.
 
Polekwa wafiwa...
Ila natural selection inasema mke akisonga mume hana muda mrefu!!

Ila mume akisonga mke hudumu...

Rejea akinya Mandela Nyerere Sokoine nk!!
 
RIP
 
Sote ni wa Mungu na kwake tutarejea.
Inna Lillah Wainalillah Raj'un
 

Apumzike kwa amani.



Ila hadi wimbi hili lipite ajuaye mola:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…