Tajiri la Bitcoin
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 1,139
- 707
Pumzika kwa amani mama Mrema,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ukamuacha anadunda tu......Duu!!! Mrema Kweli Ngoma ngumu bado anadunda Tu
RIPMke wa mzee Augustine Lyatonga Mrema amefariki dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya shinikizo la damu.
---
Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amepatwa na msiba wa kufiwa na mkewe Rose Mrema. Taarifa iliyotolewa kwa umma na Mrema imesema mkewe amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu ya maradhi ya shinikizo la damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Sote ni wa Mungu na kwake tutarejea.Mke wa mzee Augustine Lyatonga Mrema amefariki dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya shinikizo la damu.
---
Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amepatwa na msiba wa kufiwa na mkewe Rose Mrema. Taarifa iliyotolewa kwa umma na Mrema imesema mkewe amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu ya maradhi ya shinikizo la damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Mke wa mzee Augustine Lyatonga Mrema amefariki dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya shinikizo la damu.
---
Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amepatwa na msiba wa kufiwa na mkewe Rose Mrema. Taarifa iliyotolewa kwa umma na Mrema imesema mkewe amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu ya maradhi ya shinikizo la damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
PoleniRiP Mama Mrema.....