Mke wa AY ni mzuri kuliko wanawake wote Tanzania; yule ni Cleopatra

Kidoogo alitaka kufanana na mke wangu
 
Tuonyesheni miguu yake na matacko yake tuone kwanza, sura hata wanyaturu na warangi wanazo.
 
Hahahahaha! Yeah ni mrembo, but jamaani hakuna sehemu niliyoona wanawake wazuri Tanzania kama Manyara
Hao wanawake wa huko, je kifurushi kimekamilika?? Yaani kina sms, mb na dk za kutosha au ni sura tu.
 
We lazima utakuwa umetoka kolomije umezuzuka na rangi na makeup,hakuna bibi Harusi mbaya mbele ya makeup ni pesa zako tu.
 
Acha wenge mkuu, sema mzuri kwako uu nashindwa kumsifia hata mkeo, huyo haoni ndani kwa mahabuba wangu.
 
Umekuja mjini na fuso ya mizigo ndio shida kwako wewe umeona ndio mke mzuri
 
Wengi wanafikiri uzuri wa mwanamke ni wa nje ambao ni sura na mwili, bali uzuri wa mke ni wa ndani moyoni na tabia

Kitabu cha 1Samueli kinasema kama ifuatavyo:

"Lakini Yehova akamwambia Samweli: “Usiangalie sura yake wala urefu wa umbo lake, kwa maana nimemkataa. Kwa kuwa Mungu haoni kama mwanadamu anavyoona, kwa maana mwanadamu huona kile kinachoonekana kwa macho, lakini Yehova huona jinsi moyo ulivyo.” (1Samuel 16:7)
 
Uzuri wa mtu upo mechoni mwa anaemwuangalia na si vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…