Mke wa AY ni mzuri kuliko wanawake wote Tanzania; yule ni Cleopatra

Mke wa AY ni mzuri kuliko wanawake wote Tanzania; yule ni Cleopatra

Madem wazur wapo weng sana hapa tz kuliko unavyofikiria ww. Sema tu sio wote wanapost kweny mitandao na wengne wazur sana sema hali za kiuchumi zimebana
 
FBF30B04-F445-4301-8124-021A53AC50EE.jpeg
B631806A-FB2E-4550-81EB-845E042618DE.jpeg
222B2375-6547-4AC9-9305-8C2D2BDDEA25.jpeg
Angalia PUA
UZURI UKO HAPA
 
7B06D2DC-C026-47C1-879E-FB9CE20F9F91.jpeg
07B8A78B-2874-4FC3-A1E0-CDEC449F847C.jpeg
 

Attachments

  • 3AE54798-7C9D-4015-9061-51EEA31B424A.jpeg
    3AE54798-7C9D-4015-9061-51EEA31B424A.jpeg
    12.2 KB · Views: 80
She is beautiful yes,
kama umemfananisha na Cleopatra wa kwenye Biblia means she is beautiful kuliko wanawake wote Duniani... lol
Mzuri kuliko wote TZ wapi, unamsikiliza huyo! unasikiliza watu waliotembea mwisho wilayani kwao na kuishia kuangalia TV!
 
Hahahaha mleta uzi una macho ya sikukuu bila shaka,yaani huyu mwenye pua kama gunzi ndio mzuri?kua serous aisee,hebu twende Tanga ukakutane na utitiri wa warembo
 
Guess hujawahi ona au kukutana na wanawake wazuri ndio shida ya wanaume wa mikoani muda wote mnashindana na Nyani shamban utajua wanawake wazuri wewe..

Kwenye list ya warembo kwangu mqy be anaweza kuwa kwenye top 15...

Fanya research iliyoshiba before hujatoa conclusion zako..
Hakika umenena[emoji1]
 
Mke wa AY ndio msichana mrembo zaidi kuliko wasichana wote Tanzania. Hakuna cha Jokate, Wema, Lulu, Tunda, Mimi Mars, Klynn, Faraja Kota wala Nancy Sumari.

Nahisi yeye ndio Cleopatra aliesemwa kwenye historia, yaani mwanamke mzuri kuliko wote.

View attachment 695751

View attachment 695755

Kama mke anatambua wajibu wake na ana uwezo wa kuzihimili changamoto za ndoa, huyo atakuwa mke mzuri. Uzuri wa mke sio sura.
 
Back
Top Bottom