Mke wa AY ni mzuri kuliko wanawake wote Tanzania; yule ni Cleopatra

Mke wa AY ni mzuri kuliko wanawake wote Tanzania; yule ni Cleopatra

Mke wa AY ndio msichana mrembo zaidi kuliko wasichana wote Tanzania. Hakuna cha Jokate, Wema, Lulu, Tunda, Mimi Mars, Klynn, Faraja Kota wala Nancy Sumari.

Nahisi yeye ndio Cleopatra aliesemwa kwenye historia, yaani mwanamke mzuri kuliko wote.

View attachment 695751

View attachment 695755
wewe ungesema KWA MTAZAMO WAKO huyo dada ni mzuri;
Sijui ukisema uzuri wa msichana unamaanisha nini? Yaani ukipenda uso wa msichana tayari amesha kuwa mzuri kuliko wote Tanzania; hata hatujaona... miguu nk?
Kila mtu anasifa zinazo mvutia kwa msichana na kumuona wa kipekee kwa uzuri; Hivyo usitulazimishe tufuate mawazo yako!!!
 
Hahaahahahahah watanzania nawaonea huruma sana. Kuna mademu zaidi ya milioni 27 halaf wote wanazidiwa na mke wa AY
 
Mbona yupo kawaida sana, siku zote hajawahi kusifiwa na watu wanamfahamu, au sababu ya mbwembwe alizofanya ndio zimekuchanganya? Mkutilize kaamka asubuhi uone alafu usiku huo awe amekula rungu ndio utajua kuwa ni mzuri au kama mama sikuzani!!!!
 
Wabongo wanapenda kujifariji sana. Harafu wengi wanashindwa kutofautisha tunaposema mwanamke mzuri na mwanamke wa kuishi naye(mke). Jamani kubalini tu ukweli, Ambwene kabeba kifaa!
 
Ni mrembo haswaa atulie kwenye ndoa sasa maana kapata mume mzuri pia
 
Labda tuanze kutupia picha za madem wa Kibongo wakali, ndio atajua huyo ni mzuri Kwa Ambwene tu kwa wengine ni garasha. Wapo watoto wazuri tena ma baa maid sio huyo alochongwa kwa hela
 
diamond anatuwakilisha kuwagonga ngozi waganda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hiyo ukiwakilishwa unaona fahari? Kawaida lkn, mbona hata demu wako uliye karibu nae watu wanawakilisha sometimes, sembuse hao walioko mbali na ww!
 
Halafu kusifia mke wa mtu dizaini hiyo ni mapungufu.
Pia ni matusi ya nguoni kwa wanawake warembo wazawa nchini Tz.
Yaani huyo ni mpompoma mara dufu yaani hao wabaya mpaka mama yake dada zake shangazi zake hao ndiyo hukimbia ndugu zao kwa kuogopa kuwatambilisha kwa watu
 
Uzuri wa kitu upo machoni kwa Mtu, unaweza muona mzurii kwa mwingine akamuona wa kawaida
 
Back
Top Bottom