Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Mwambie ageuke tuone kama anachura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo wale hata kumtambulisha mkewe kwa marafiki zake anaona aibu unajiuliza wakati unamtongoza ilikuwa usiku au[emoji102] [emoji102] [emoji102]Sasa inatuhusu nini.uoni haya kumsifia mke wa mwanaume mwenzio
Nalo neno mkuuKm ni msukuma basi ndo maana, maana wao wanaanzaga kuwafaham wanawake ukubwani. Ujanani huwa wanashinda porini wakichunga na huwa wanawapanda ng'ombe
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Af sijui demu wake anajisikiaje mtu kakurupuka hata uso hajanawa anamsifia demu wa mwingine!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]A.Y anatuwakilisha watanzania kuigegeda rwanda nzima...
Heeeh![emoji30][emoji30]Kasoro: masikio ka popo
Vidole vya mikono angalia hiyo michirizi.
Midomo mipana means papuchi kubwa
Japo kavaa minywele, ana kichogo ka thiery henry.
Unaweza ukaweka picha yake???? Samahani lakiniDunia hii hakuna mrembo wa kumshinda Mama Gaude wangu. Nimechoka kurudia hii comment kila siku. Mama Gaude wangu chombo bhana!
Sawa...we kila siku unaonesha sura tu,
..utakuwa una tutako tumesinyaa ka unaogopa sindano!
Ni full package arifuuuuHao wanawake wa huko, je kifurushi kimekamilika?? Yaani kina sms, mb na dk za kutosha au ni sura tu.
Binafsi sidhani kama AY kakutuma kujakuonyesha mapungufu ya ndoayakoMke wa AY ndio msichana mrembo zaidi kuliko wasichana wote Tanzania. Hakuna cha Jokate, Wema, Lulu, Tunda, Mimi Mars, Klynn, Faraja Kota wala Nancy Sumari.
Nahisi yeye ndio Cleopatra aliesemwa kwenye historia, yaani mwanamke mzuri kuliko wote.
View attachment 695751
View attachment 695755
Akili yako imekutuma hao uliowataja hapo ndio wazuri Tanzania!!! Upande wangu naona wa kawaida sana, hujatembea wewe Tanzania kuna mabint wazuri sana sema hawauzi suraMke wa AY ndio msichana mrembo zaidi kuliko wasichana wote Tanzania. Hakuna cha Jokate, Wema, Lulu, Tunda, Mimi Mars, Klynn, Faraja Kota wala Nancy Sumari.
Nahisi yeye ndio Cleopatra aliesemwa kwenye historia, yaani mwanamke mzuri kuliko wote.
View attachment 695751
View attachment 695755