Mzuri kuliko wote TZ wapi, unamsikiliza huyo! unasikiliza watu waliotembea mwisho wilayani kwao na kuishia kuangalia TV!She is beautiful yes,
kama umemfananisha na Cleopatra wa kwenye Biblia means she is beautiful kuliko wanawake wote Duniani... lol
Hahahaha uwiiiMzuri kuliko wote TZ wapi, unamsikiliza huyo! Pua yenyewe km koki, unasikiliza watu waliotembea mwisho wilayani kwao na kuishia kuangalia TV!
asa uzuri wa huyo mwanamke uko wapi?sijui mwenzetu kaona pua au shingo?Mzuri kuliko wote TZ wapi, unamsikiliza huyo! Pua yenyewe km koki, unasikiliza watu waliotembea mwisho wilayani kwao na kuishia kuangalia TV!
Una uwakika hatumii vya kung'arisha?Huyu dem sio siri ni mkali..kafunika vinuka mkojo vyote vya kwenye media.hakuna cha wema wala tunda maanina,..mtoto anarang isiyogusa mkorogo maishan
Dunia hii hakuna mrembo wa kumshinda Mama Gaude wangu. Nimechoka kurudia hii comment kila siku. Mama Gaude wangu chombo bhana!
Hakika umenena[emoji1]Guess hujawahi ona au kukutana na wanawake wazuri ndio shida ya wanaume wa mikoani muda wote mnashindana na Nyani shamban utajua wanawake wazuri wewe..
Kwenye list ya warembo kwangu mqy be anaweza kuwa kwenye top 15...
Fanya research iliyoshiba before hujatoa conclusion zako..
Mke wa AY ndio msichana mrembo zaidi kuliko wasichana wote Tanzania. Hakuna cha Jokate, Wema, Lulu, Tunda, Mimi Mars, Klynn, Faraja Kota wala Nancy Sumari.
Nahisi yeye ndio Cleopatra aliesemwa kwenye historia, yaani mwanamke mzuri kuliko wote.
View attachment 695751
View attachment 695755