Mke wa AY ni mzuri kuliko wanawake wote Tanzania; yule ni Cleopatra

Sasa inatuhusu nini.uoni haya kumsifia mke wa mwanaume mwenzio
Ndiyo wale hata kumtambulisha mkewe kwa marafiki zake anaona aibu unajiuliza wakati unamtongoza ilikuwa usiku au[emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Sema tu nawewe una mahaba niuwe juu yake,

Hakuna mwanamke mbaya ndugu yangu, ndio maana wengi tu wanaolewa, nikutokana na urembo wao, kila mwanaume anapenda mwanamke mrembo amuweke ndani,
 
Dunia hii hakuna mrembo wa kumshinda Mama Gaude wangu. Nimechoka kurudia hii comment kila siku. Mama Gaude wangu chombo bhana!
Unaweza ukaweka picha yake???? Samahani lakini
 
Sitaki kuamin hizi ni bangi.... Yaani kwa Nyerere kulivyo na visu hiv eti mtu anasema kuliko wanawake wote Tz
 
Mzuri kuliko wanawake wote Tanzania? Unatumia mihadarati au bange? Umetumia kigezo gani? Unafikiri mzuri kwako ni mzuri kwa mwingine? Sio kila mtu anapenda kaukau wengine mafuta muhimu.
 
Siamini yani mpaka sasa wataalam wa kupekenyua imekosekana picha ya huyu bibie inayoonyesha back profile na miguu? Mnaliangusha jukwaa hili wakuu
 
Binafsi sidhani kama AY kakutuma kujakuonyesha mapungufu ya ndoayako

Oa wako usifie sio kusifia wa wenziooo

[HASHTAG]#BANCHOOOOOOT[/HASHTAG]
 
mwanamke mzuri kuliko wote duniani ni mama yangu pekee, anayemfuatia kwa mbaali ni wife
 
Unamsifia mke wa mtu unaacha kumsifia mke wa baba yako
Ulishawai kukaa na baba yako kisha ukamwambia baba ebu nipe vigezo kwa nini ulimpenda mama?
Na ili swali nenda kamuulize huyo AY uwenda kwake yeye vigezo sio uzuri wa mwanamke wake,
Labda ufundi kitandani, hama kwao mambo safi au mkarimu sana, uwenda ikawa anajua kupika chakula kizuri kuna vigezo vingi sana katika kuchagua mke, wewe dogo unaangalia sura hama hakika umeferi kabisa.
 
Akili yako imekutuma hao uliowataja hapo ndio wazuri Tanzania!!! Upande wangu naona wa kawaida sana, hujatembea wewe Tanzania kuna mabint wazuri sana sema hawauzi sura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…