Mke wa AY ni mzuri kuliko wanawake wote Tanzania; yule ni Cleopatra

Ushauri wa bure kwa kijana Ambwene, aende kuishi na huyo mke wake Somalia. Tanzania kuna wakware sana na wana pesa zao. Huyo mtoto hatakuwa salama katika kumi na Nane za "Wakware wasiojulikana". Tena makuwadi watakuwa hao hao rafiki zake A.Y. (Tajiri mtata kama Salah).
 
Wewe siyo AY, halafu umemsifia mke wake hivyo? Itabidi awe makini aisee😀
 
Tafuta USD za kutosha nkupeleke city of beauty ukajionee wanawake wazur wa sura mpaka maungo yao ndio uta jura Tanzania tunawacheza vgodoro tu...ao akina #Mzigua# na types zake...
 
Mtoa thread,hujawahi kuona wanawake wazuri mi nadhani.Sio bure,utakuwa una kizunguzungu cha macho.TANZANIA ina wanawake wazuri sana.Kafanye utafiti wako kanda ya kaskazini.Yaani Kilimanjaro,Arusha,Manyara pasipo kusahau mkoa wa Singida.Halafu kama unapendelea waliofungasha na miguu iliyojaa vyema nenda kanda ya ziwa hautaamini.Ukitaka wanawake wanaojua mahaba na mahabati,nenda ukanda wa mikoa yote ya pwani.Hapo Tanga,utanyoosha mikono juu.Kwa mikoa ya nyanda za juu kusini napo ni shida.Bando kanda ya kati.Sasa sijui,mtoa post kwa Tanzania yetu hii wewe umeshazuru na kukutana na wanawake wa kanda zote za bara na visiwani.Mpaka ukapost huu uzi.By the way huyo "cleopatra" wako ni wa kawaida sana.Kwa uzuri halingani hata na my ex-girlfriend.Pole sana kwa upofu mkuu.
 
Hao uliowataja ndio wanawake wa Tanzania???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…