kibao cha mbuzi
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 507
- 491
Huyo ulie mpost amesha wahi kukukatikia!?Mkeo namjua tatizo gogo kitandani hajui kukatika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ulie mpost amesha wahi kukukatikia!?Mkeo namjua tatizo gogo kitandani hajui kukatika
Wewe siyo AY, halafu umemsifia mke wake hivyo? Itabidi awe makini aisee😀Mke wa AY ndio msichana mrembo zaidi kuliko wasichana wote Tanzania. Hakuna cha Jokate, Wema, Lulu, Tunda, Mimi Mars, Klynn, Faraja Kota wala Nancy Sumari.
Nahisi yeye ndio Cleopatra aliesemwa kwenye historia, yaani mwanamke mzuri kuliko wote.
View attachment 695751
View attachment 695755
Acha wenge mkuu, sema mzuri kwako uu nashindwa kumsifia hata mkeo, huyo haoni ndani kwa mahabuba wangu.
Huyu dem sio siri ni mkali..kafunika vinuka mkojo vyote vya kwenye media.hakuna cha wema wala tunda,..mtoto ana rang isiyogusa mkorogo maishan
Hakuna wivu hapo mkuuHuu sasa wivu!
Kweli aisee,tuanzie hapo kwanza😀Tuonyesheni miguu yake na matacko yake tuone kwanza, sura hata wanyaturu na warangi wanazo.
Manyara gani mkuuHahahahaha! Yeah ni mrembo, but jamaani hakuna sehemu niliyoona wanawake wazuri Tanzania kama Manyara
Umenena vyema mkuu.Hahahahaha! Yeah ni mrembo, but jamaani hakuna sehemu niliyoona wanawake wazuri Tanzania kama Manyara
Jamaa amesoti mremboMke wa AY ndio msichana mrembo zaidi kuliko wasichana wote Tanzania. Hakuna cha Jokate, Wema, Lulu, Tunda, Mimi Mars, Klynn, Faraja Kota wala Nancy Sumari.
Nahisi yeye ndio Cleopatra aliesemwa kwenye historia, yaani mwanamke mzuri kuliko wote.
View attachment 695751
View attachment 695755