Mke wa Baba Levo aomba msamaha na kumtaka warudiane, marafiki walimdanganya

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Wadada wengi ndio maana mnashindwa kupata real love kwa mambo mafupi sana.

Kuna kipindi fulani nilimsikia baba levo kuachana na mke wake ni kwa sababu ya dini ila walizaa.

Sasa baba levo Mpunga unasoma huku Salma wenzake wanabaki kumuangalia
 
Wadada wengi ndio maana mnashindwa kupata real love kwa mambo mafupi sana.

Kuna kipindi fulani nilimsikia baba levo kuachana na mke wake ni kwa sababu ya dini ila walizaa.

Sasa baba levo mpunga unasoma huku salma wavaa kobazi wenzake wanabaki kumuangalia

Alidanganywa na masheikh kua asiishi na kafir, sasa waislamu wenzake waliomdanganya wanamwangalia tu hawana msaada na jamaa njia inazidi kunyooka kaona bora aishi na kafir asife njaa kuliko kuishi na wafia dini wanaonuka shida,
 
Demu aliongopewa na Madalali akapelekwa Sauz Kujiuza! Kufika kule kila akizichanga azichangiki😂Kaamua kurudisha mpira kwa kipa
 
Alidanganywa na masheikh kua asiishi na kafir, sasa waislamu wenzake waliomdanganya wanamwangalia tu hawana msaada na jamaa njia inazidi kunyooka kaona bora aishi na kafir asife njaa kuliko kuishi na wafia dini wanaonuka shida,
Acha uwongo na Unafiki we kiumbe chuki ya dini imekujaa mno,Shekhe gani ana mda ya kushauri ujinga.
 
Back
Top Bottom