Mke wa Baba Levo aomba msamaha na kumtaka warudiane, marafiki walimdanganya

Mke wa Baba Levo aomba msamaha na kumtaka warudiane, marafiki walimdanganya

Wadada wengi ndio maana mnashindwa kupata real love kwa mambo mafupi sana.

Kuna kipindi fulani nilimsikia baba levo kuachana na mke wake ni kwa sababu ya dini ila walizaa.

Sasa baba levo Mpunga unasoma huku Salma wenzake wanabaki kumuangalia
Nimesikiliza kile kipindi redion alichokuwa anasimulia maswahibu ya mkewe.

Ninaona ni vyema wakasameheana wakarudi kujenga familia waliyoianzisha.

Msamaha ni dawa ya nafsi na utajiri wa afya kwa anayesamehe na kusahau
 
Noma sana ,wanawake kwenye salon au wakiwa vibarazani wanadanganyana sana!! Wasidhani maandiko ya "Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe" yalikuja tu hivi hivi...waliona hayo mambo ikabidi wadocument.
 
Alidanganywa na masheikh kua asiishi na kafir, sasa waislamu wenzake waliomdanganya wanamwangalia tu hawana msaada na jamaa njia inazidi kunyooka kaona bora aishi na kafir asife njaa kuliko kuishi na wafia dini wanaonuka shida,
Comment yako imedhihirisha kuwa una kiwango duni cha kufikiri na chuki zisizo na msingi..

1.Umeona wapi mkiristo akawa ridhaa kabisa Binti yake kuishi na Muislamu ? umeandika kijinga na kichuki kisa lina muhusu Muislamu kama kwamba kafanya dhambi kubwa na jambo ambalo geni halikubaliki katika jamii..

2.Kama shida usife na njaa uko radhi wewe au watoto wako waingiliwe kinyume na maumbilie kisa wasife njaa ?[/QUOTE]
 
Alidanganywa na masheikh kua asiishi na kafir, sasa waislamu wenzake waliomdanganya wanamwangalia tu hawana msaada na jamaa njia inazidi kunyooka kaona bora aishi na kafir asife njaa kuliko kuishi na wafia dini wanaonuka shida,
NDIO YALE YALE YA OOOH MIMI SILI NGURUWE NI KHARAMU, ILA SASA MATA.KO ANAKULA!!
 
Back
Top Bottom