Mke wa Baba Levo aomba msamaha na kumtaka warudiane, marafiki walimdanganya

Mke wa Baba Levo aomba msamaha na kumtaka warudiane, marafiki walimdanganya

Baba Levo inabidi ampime Ukimwi na Malinda kama yapo ndio aanze kuchapa tena.
S. afrika sio pazuri aiseee! Kuna uchafu mwingi.
Kwan yeye baba levoo hayo marinda na ukimwi hana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nomechekaaaa had machoziiiii. Khaaaah
 
Kwan yeye baba levoo hayo marinda na ukimwi hana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nomechekaaaa had machoziiiii. Khaaaah
Wee hebu ngoja Kwanza nifate kigoda
 
Alimuacha baba levo huko huko instagram.
So lazima aombe msamaha huko huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilikuwa napitaa tu mkuu , comment yako ikanifurahishaa. Kumbe hata ukiachwa sokon na kelele nyingii cku akitakaa kurudi unampeleka sokon akaombee msamahaaa hukoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alidanganywa na masheikh kua asiishi na kafir, sasa waislamu wenzake waliomdanganya wanamwangalia tu hawana msaada na jamaa njia inazidi kunyooka kaona bora aishi na kafir asife njaa kuliko kuishi na wafia dini wanaonuka shida,
Acha kashfa chief.....jiheshimu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilikuwa napitaa tu mkuu , comment yako ikanifurahishaa. Kumbe hata ukiachwa sokon na kelele nyingii cku akitakaa kurudi unampeleka sokon akaombee msamahaaa hukoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi iwe hvyo mkuu ili kuweka records sawa coz unaweza msamehe behind the scene baadaye tena akabadilika ..... ikawa ni aibu kwako
 
Back
Top Bottom