Mke wa balozi Daraja auawa; Mfanyakazi wa nyumbani atafutwa

Mke wa balozi Daraja auawa; Mfanyakazi wa nyumbani atafutwa

Poleni sana fammilia ya Daraja , tulikua wote DC.

Jamani kumbukeni hii ni posh fammily na muda mrefu imishi nje ya TZ , ina wezekana hawana mambo ya kiswahili ya kujuana na majirani na kujazana na ndugu toka vijijini kwenye nyumba moja , ambapo sio jambo la ajabu, so sulala la kutaarifu majirani au kupigia simu ndugu linaweza kuwa sio kitu cha kwanza kufikiria kukifanya.
R.I.P Mama Daraja.
It's very likely huyo msaidizi wake alikuwa na simu, au ana access ya simu ya ndani, je alijaribu kumpigia kujua kulikoni mama hapatikani kwa simu? Vipi kuhusu polisi, alijaribu kuwasiliana nao?
 
Ni dhana potofu kudhani kujuana na majirani ni uswahili. Mimi na majirani zangu wazungu mbona tunajuana na huwaga tunaalikana kwenye bbq....au hawa wazungu majirani zangu ni waswahili?
NDIYO! Waambie wazungu waache Uswahili:-
 
Tumwombe Mwenyezi Mungu awape kitulizo wafiwa, na ampokee Marehemu kwenye mikono yake.

MOTIVE ni kitu muhimu sana kwenye mauaji. Kijana Mabakuri alikuwa anataka kuiba fedha? Hilo lingeweza kufanyika bila hata kugombana na Mama. Ni kiasi cha kuingia ndani wakati Mama hayupo na kuchukua fedha.
 
- Hii ishu ina mengi sana ambayo kama ikifuatiliwa kwa karibu sana yatafukuliwa ya ajabu sana, nimeanza kuyasikia huku kwa pembeni!

Respect.

FMEs!
 
- He! he! he! he! mkuu ni for the interest ya balozi Daraja hii ishu ikazimwa maana yatafukuliwa mengi sana, sisemi zaidi maana Balozi Daraja ni my very dear friend, ninampa pole sana.

Respect.

FMEs!

Mkuu FMES mjadala umefiikia mahali ambapo tunahitaji kuona ni kwa vipi Mh balozi Daraja atakuwa cleared....Na kwa wewe kusema kwamba issue izimwe,basi ni kwenda kinyume na matarajio hayo ya clearence...Kwa hivyo taarifa zaidi zitaweza kutusaidia,sasa unaposema hii issue ikazimwa mkuu je una maana habari zinazohusiana na mauwaji zikazimwa?Je itakuwa ni kwa manufaa ya nani mkuu?

Tuendelee tu kutoa pole at the same time tuhabarishane ili mjadala uweze kwenda vyema maana issue hapa ni homicide,sidhani kama uta m pm peasant peke yake,unless kama una habari ambazo ni confirmed na zinaweza zikabadilisha mwelekeo wa issue hii basi unaweza kubreak the news halafu mods wakaziunga pale watakapoona inafaa....Ni ushauri tu mkuu ila unaweza mwaga tu hapa hapa mjadala uendelee ili tuweze kum clear rafiki yako mkuu,ni vyema pia ukasimamia haki ndugu FMES,kumbuka kuna victim aliyeuwawa kinyama mkuu.
 
Pole Mh. Daraja na wanafamilia.

Hiki kisa kinasikitisha sana kwa sababu wa-Tanzania sasa tumekuwa na roho za kikatili kupita kiasi. Mama mwenye nyumba anaweza kuuwawa kwa ajili ya milioni 2, kibaka anauwawa kwa ajili ya tuhuma za kuiba kuku etc.

Ni matumaini yangu polisi watafanya uchunguzi ulio makini na huru bila ya woga kwa sababu hatuna utamaduni wa kuhoji walio karibu na victim.

Siamini kama Balozi anahusika kwa namna yoyote ile lakini lazima Polisi wafanye kazi kama polisi.
 
Kuna mambo mawili nimeendelea kuyatafakari:

a. Kama Balozi alikuwa nje ya mji wake kwa muda wa wiki tatu, huyo msaidizi alikuwa na muda wa kutosha kufanya uharamia (kama ni yeye) kuliko kusubiri masaa machache kabla mwenye nyumba hajarudi.

b. Katika mazungumzo ya mwisho ambayo tumedokezwa ni kuwa balozi alitoa taarifa kwamba anarejea siku inayofuata. As a detective I would really like to know mama alienda wapi baada ya info hiyo/

c. (sorry I said two), yawezekana wauaji walikuwa wanasubiri ndani tayari tena kule kwenye gereji wakitarajia gari la balozi akirudi wamshtukize.. kumbe mama ndiyo anarudi?

Hilo la C kama ni la ukweli naamini kabisa huyo kijana wa nyumbani hawezi kukutwa hai.
 
Kuna mambo mawili nimeendelea kuyatafakari:

a. Kama Balozi alikuwa nje ya mji wake kwa muda wa wiki tatu, huyo msaidizi alikuwa na muda wa kutosha kufanya uharamia (kama ni yeye) kuliko kusubiri masaa machache kabla mwenye nyumba hajarudi.

b. Katika mazungumzo ya mwisho ambayo tumedokezwa ni kuwa balozi alitoa taarifa kwamba anarejea siku inayofuata. As a detective I would really like to know mama alienda wapi baada ya info hiyo/

c. (sorry I said two), yawezekana wauaji walikuwa wanasubiri ndani tayari tena kule kwenye gereji wakitarajia gari la balozi akirudi wamshtukize.. kumbe mama ndiyo anarudi?

Hilo la C kama ni la ukweli naamini kabisa huyo kijana wa nyumbani hawezi kukutwa hai.

Hapa MM kwenye kijana wa nyumbani ndipo penye utambulisho wa wauaji. Kama kweli wahusika ni wengine na wamemuua huyo kijana kwa nini maiti haikupatikana hapo nyumbani.

Na kama hakuuawa je kwa nini aidha ajifiche, au afichwe?

A: Je ni yeye katekeleza hilo akakimbia? Any motives? Any history?
B: Kuna aliyetekeleza hilo lakini kuleta 'confusion' kwenye upelelezi kaamua kumtowesha Kijana. Why????
C: Nani anaweza kufanya mauaji hayo na akataka ionekane yamefanywa na kijana wa kazi( probably... ni mtu mwenye mahusiano na familia kwa namna moja au nyingine)
D: Motives? current motives? old motives?( political?, business? love affairs?, longtime fight? secret issues?) kwa sababu robbery haionekani hapa....sawa na point ya MM kwamba time ilikuwapo ya kutosha kabla)
E: Records za simu zinaonyeshaje kwenye mtandao husika, maana inabidi na balozi mwenyewe tumshuku...japo tunatanguliza pole...lakini tupanue upelelezi kidogo.
F: Why now????
 
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mtu ambaye jina lake limehifadhiwa kwa kile kinachodaiwa kumuua mke wa Balozi Daraja, Anna Mbango (65). Kaimu kamanda wa kanda hiyo, Charles Kenyela, aliiambia Tanzania Daima mjini Dar es Salaam kuwa jeshi hilo linamsaka mtu huyo ambaye anadaiwa kumuua Anna kwa kumchoma kisu kifuani kisha kutoweka.
“Kweli tumepokea taarifa ya tukio hili ambalo limetokea eneo la Kimara, tunamsaka … kwa sababu ametoweka baada ya tukio hili,” alisema Kamanda Kenyela.
Alisema inaonyesha siku ya tukio mtu huyo ndiye aliyekuwepo nyumbani na marehemu kwa vile mume wake alikuwa amesafiri kikazi mkoani Tanga.
“Huyu inaonekana ndiye alikuwa nyumbani na marehemu… sasa wakati mume wake anarudi aligonga mlango bila kupata majibu; akaamua kumtuma dereva wake Idd Salum kuruka ukuta na kuingia ndani.
“…Baaada ya kuingia ndani dereva alikuta mwili wa Anna ukiwa umelazwa chali huku kisu kikining’inia kifuani akiwa tayari amefariki,” alisema Kamanda Kenyela.
Alisema baada ya tukio hilo, mtu huyo alitoweka na mizigo yake yote zikiwemo nguo jambo ambalo linasababisha polisi kuhisi kuwa amehusika na mauaji hayo.
Wakati huo huo, mtu mmoja aliyejukikana kwa jina la Moshi Nassoro (18), mkazi wa Mbagala, jijini Dar es Salaam aligongwa na gari la mizigo na kufariki papo hapo.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, ACP Liberatus Sabas, tukio hilo lilitokea katika eneo la Mandela Sokota huko Temeke juzi baada ya gari aina ya Scania lililokuwa na namba za usajili T. 769 AQA lililokuwa linatokea Serengeti kuelekea Tazara kumgonga na kumuua.
Alimtaja dereva aliyesababibisha kifo hicho, Rajab Mohamed (24), kuwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Dar es Salaam kwa maelezo zaidi huku uchunguzi wa mazingira ya kutokea ajali hiyo ukiendelea.
Mwili wa marehemu Nassoro umelazwa katika Hospitali ya Temeke ukisubiri maziko.


My Take:
somebody is mixing up stories now..
 
Lakini inawezekana ni mambo ya visasi haya ooh my mama mwenyewe alikuwa na kosa gani? Ukizingatia tayari umri ulishakwenda ..hili ni pigo kwa mmewe ..
uchunguzi wa kina ufanyike si kawaida hata kidogo!
 
Assuming Bal Daraja anagombania ubunge kupitia CCM, je alikuwa threat kwa wagombewa wengine? Kwa mtazamo wa haraka haraka, kama kweli huyo msaidizi ndiyo amefanya mauaji, basi motive ni zaidi ya fedha. Kwani kwavile walikuwa wanakaa wawili kwa zaidi ya week 2, angeweza kutimiza lengo la wizi kwa kubomoa mlango tu.

Halafu kwa kiwango cha balozi, ilikuwaje asiwe na mlinzi hata wale tunaowaita wamasai?
 
Kikwete sends condolence to Ambassador Daraja's family
By ROSE ATHUMANI, 9th March 2010 @ 10:00, Total Comments: 0, Hits: 305

PRESIDENT Jakaya Kikwete has sent condolences to retired Ambassador Andrew Daraja and his family following the murder of his wife, Anna on Sunday.

A statement issued by the State House Directorate of Communication today said the president has been saddened by the murder of Mama Anna Daraja that occurred under mysterious circumstances.

"I have received with sorrow and sadness the news of the death of Mrs Anna Daraja. I personally knew her and she was a good person who loved everyone," the president said in the statement.

Meanwhile, police are holding one suspect in connection with the murder of the wife of former Tanzania's envoy to the United States, Ambassador Daraja. Kinondoni Regional Police Commander (RPC) Mr Elias Kalinga named the suspect as Majiga Masanga (27).

Ambassador Daraja arrived home from Muheza, Tanga, on Sunday afternoon only to find out that his wife, Anna Daraja (65) was stabbed to death and locked up in the garage.

The houseboy, James Mabakuli (22), the only other person in the home with the deceased has since been on the run and police are still hunting for him. RPC Kalinga said Masanga was being held because he was the one who brought Mabakuli to Daraja's family to work as a houseboy.

"The suspect is the one who introduced Mabakuli to the Ambassador and was hired as houseboy," RPC Kalinga said.

Masanga, according to the RPC, runs a shop in Kimara B area. Reports from family members who refused to be named said, Masanga had once worked as a houseboy at Ambassador Daraja's home before he left and brought in Mabakuli.

RPC Kalinga said the postmortem on the body shows that the deceased was stabbed three times, twice in the stomach and the third on her left breast. The police said 2m/- were stolen but every other valuable item in the house was intact.

According to the family members, the deceased family is waiting for their son who is expected to arrive from the US any time from tomorrow. Burial service is expected to take place in Tanga later this week.

It was also established that the houseboy did not take any of his belongings when he fled the home. Ambassador Daraja last contacted his wife the day before (on Saturday) to inform her of his travel back to Dar es Salaam plans. When he called a few hours later, there was no response from her.

"I tried calling again later but the calls couldn't go through," he explained trying to control tears.

He further said that he arrived home, his driver hooted several times but there was no response from the house. It was at this time that the Ambassador asked the driver to climb over the fence and open the gate.

They found the deceased paraphernalia, including hand bag, shoes and her mobile phone bag strewn on the ground near the gate.

He rushed into the house looking for his wife. Just when he was about to give up the search around the house, something nudged him to look inside the garage…there she was laying on the garage floor with a knife stuck on her chest. Source:http://www.dailynews.co.tz/home/?n=8056&cat=home
 
Mkuu MM, Naona wameshawataja kwa majina hawa 'watuhumiwa' kazi kweli kweli..
 
Mazingira ya kifo hiki yanasikitisha, poleni sana wafiwa wote na tuache vyombo vya dola vifanye kazi yao..
 
Pole sana balozi wetu na familia yote kwa ujumla. kwakweli hii inasikitisha sana na ni unyama mkubwa sana!!1 Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.
 
Back
Top Bottom