Mke wa balozi Daraja auawa; Mfanyakazi wa nyumbani atafutwa

Mke wa balozi Daraja auawa; Mfanyakazi wa nyumbani atafutwa

...hii case inanikumbusha mauaji ya Mwalimu fulani pale Arusha mwaka 2002, ambaye naye aliuliwa na House boy kwenye mazingira yanayofanana kabisa na hayo.

Mwalimu huyo (mwenye nyumba) alirudi nyumbani na kumkurupusha 'kijana' wake wa kazi ambaye alikuwa kwenye harakati za wizi,...
Mbaya zaidi, mama mwenye nyumba alipojaribu kupambana na kijana wake wa kazi, hatma yake ilikuwa kupigwa mapanga mpaka kifo.

'Kijana' hajapatikana mpaka leo!
 
well.. I hope we are not talking about the same person.
 
Ooh jamani huyu muuaji Mungu amemsahau wapi??? Poleni wafiwa na Mungu awafariji katika kipindi hiki kigumu!!!
 
Vilevile huu ni wakati mzuri kwetu tunaoajiri hawa vijana kama wasaidizi wetu majumbani kujiuliza jee tunawa handle vipi? Kama binadamu au kama wanyama? Maana wako waajiri wengine wanachukulia umasikini wa hawa vijana na kuwatreat kama wanyama kwa mateso,masimango na kashfa na hata kuwanyima ujira wao mdogo na halali.
Na pale unapomfanya mtu kama mnyama, hupaswi kushangaa akiamua kufanya mambo ya kinyama kwa vile wewe ndio umemtengeneza awe hivyo. Tujaribu kuishi nao kibinadamu na matukio ya kinyama yatapungua au kwisha kabisa
 
Back
Top Bottom