Mke wa Barnaba akiwa na mume mwingine

Mke wa Barnaba akiwa na mume mwingine

Kuna Wanaume wanabahati we acha tu.yani mie ningekuwa huyo barnaba fasta ningekimbilia kanisani kwamba jamani eeh ushahidi huu apa kuanzia leo nipo single.

Videmu vya sikuizi vimekuwa pasua kivhwa sana ni bora ukae pekeyako.

Huhuhuuuu
 
Mbn Sion mwanaume hapo
C n wanawake wote wawili
 
Wanawake Type hii ukioa jiandae kwa Majanga usiseme ninamke sema nina kivuli cha mke
 
Kuna Wanaume wanabahati we acha tu.yani mie ningekuwa huyo barnaba fasta ningekimbilia kanisani kwamba jamani eeh ushahidi huu apa kuanzia leo nipo single.

Videmu vya sikuizi vimekuwa pasua kivhwa sana ni bora ukae pekeyako.
Ni kosa la kijinai kukaa peke yako, Unaweza Hukumiwa kifungo cha maisha kwa kutokutumia vizuri mkuki wako.
 
Wakuu kunahaja yakuuanzisha madarasa kuwafunda hawa watoto wakiume wenye sura zamama zao.
Wanawake wengi wamekua wadhaifu sana kwa hao jamaa, tusipokua makini watatuharbia ndoa zetu dada zetu nawatoto wetu. Wasitufanyie hivo wanaume wenzao
 
Back
Top Bottom