KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mahakama za mifukoni hizo.....Sasa mahakama baada ya kuona upepelezi wameona mazeli hana hatia
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama za mifukoni hizo.....Sasa mahakama baada ya kuona upepelezi wameona mazeli hana hatia
Ova
Kwa hiyo Mungu wa kweli angepitisha auwawe ili furaha na amani yako vimtukuze au?Hakika nawaambieni Mungu wa kweli hukaa ndani yetu, alisikika mke wa Hayati Billionaire Msuya akiimba baada ya hukumu kumpenda zaidi yeye pale kisutu, yeyote anaejua maana ya kilio na kusifu kuliko na malaika huyo mwanamke alikosa muunganiko wa sauti, kiini cha sauti na Nuru ya mwili hasa uso wake ulikataliwa na malaika wa kweli wa Mungu aliehai ambae ni Mungu Mkuu na Mungu wa haki na kweli.
Yesu na Mungu wakitamkwa katika najisi sauti na lugha ya mwili haviendani, furaha itokayo kwa Bwana Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu vilikataa.
Yeyote aliyemfuasi wa kweli wa Mungu apitie Millard Ayo TV ajionee mtanziko wa huku hio kwa hakika ni simanzi. Nyuma ya Pazia Hayati Billionaire Msuya litaweka nyufa kama ishara ya kilio cha mfu.
Hujateseka mpaka ukose haki ndio utajua maana ya kuteseka.
Wadiz
Ndugu gani tena wamuue ndugu yao kwasababu ipi?Uyo billionare atakuwa kauwawa na wenzie kikazi kavishwa msala uyo mwanamke, na uyo aneth atakuwa kauwawa na nduguze
AlliensBasi sawa!
Muuwaji nani sasa????
Au ndiyo imeisha hiyoo
Ova
Nakuhakikishia malipo ni hapa hapa Tena hivi karibuni. Huko ahera hakuna mahakama. Kifupi shughli bado mbichi kbs.Nimeacha kuhukumu. Mungu ndiye anajua muuaji nani kama jamhuri imeshindwa kumjua. Kama ni yeye au siye basi itajulikana huko ahera
wataanza ya kurogana. it is a guarantee kwa sisi waafrikaNakuhakikishia malipo ni hapa hapa Tena hivi karibuni. Huko ahera hakuna mahakama. Kifupi shughli bado mbichi kbs.
Naskia Dada wa kaz ktk kesi hiyo kuna wakt aliitwa amtambue mwanamke aliyekuja na mtu mrefu akamnunulia cm nokia wakampa 20 elfu.Ndugu gani tena wamuue ndugu yao kwasababu ipi?
Kwann hao wahusika hawajapatikana?
Swali la ziada, dada wa kazi wa marehemu Anethe Msuya ambaye alikuwapo eneo la tukio amepotelea wapi? [emoji848]
Hv huyo aneth hakuwa na mpenzi/mume/mzazi mwenzake? Najiuliza maswali yasiyo na majibuUyo billionare atakuwa kauwawa na wenzie kikazi kavishwa msala uyo mwanamke, na uyo aneth atakuwa kauwawa na nduguze
Katika kesi Ile makosa yamefanywa na wapelelezi na waendesha mashitaka.Nafsi inamsuta sana na kauli ya Makonda nimeikubali. Hawa Majaji wala rushwa.
Huo ndio ukweli,malipo hapahapaNaamini Mungu aliye wakweli yupo na atatenda, awe mgweno, awe msangi, awe wa gonja, popote pale hata awe mkisii dhuluma ya uhai inalipwa tena kwa kuwahi na Mungu mwenyewe
Hii kesi inafikirisha sana ila malipo ni hapahapa dunianiNakuhakikishia malipo ni hapa hapa Tena hivi karibuni. Huko ahera hakuna mahakama. Kifupi shughli bado mbichi kbs.
Fwedhwa na mapenzHv huyo aneth hakuwa na mpenzi/mume/mzazi mwenzake? Najiuliza maswali yasiyo na majibu