Mke wa Bilionea Msuya, furaha yake na sauti yake ya kusifu Yesu akitoka Mahakamani si yenye Roho Mtakatifu

Mke wa Bilionea Msuya, furaha yake na sauti yake ya kusifu Yesu akitoka Mahakamani si yenye Roho Mtakatifu

Hakika nawaambieni Mungu wa kweli hukaa ndani yetu, alisikika mke wa Hayati Billionaire Msuya akiimba baada ya hukumu kumpenda zaidi yeye pale kisutu, yeyote anaejua maana ya kilio na kusifu kuliko na malaika huyo mwanamke alikosa muunganiko wa sauti, kiini cha sauti na Nuru ya mwili hasa uso wake ulikataliwa na malaika wa kweli wa Mungu aliehai ambae ni Mungu Mkuu na Mungu wa haki na kweli.

Yesu na Mungu wakitamkwa katika najisi sauti na lugha ya mwili haviendani, furaha itokayo kwa Bwana Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu vilikataa.

Yeyote aliyemfuasi wa kweli wa Mungu apitie Millard Ayo TV ajionee mtanziko wa huku hio kwa hakika ni simanzi. Nyuma ya Pazia Hayati Billionaire Msuya litaweka nyufa kama ishara ya kilio cha mfu.

Hujateseka mpaka ukose haki ndio utajua maana ya kuteseka.

Wadiz
Kwa hiyo Mungu wa kweli angepitisha auwawe ili furaha na amani yako vimtukuze au?

Yule mwanamke mzinzi aliyetaka kupigwa mawe, ikawaje akaondoka akiwa mzima kabisa?
 
Uyo billionare atakuwa kauwawa na wenzie kikazi kavishwa msala uyo mwanamke, na uyo aneth atakuwa kauwawa na nduguze
Ndugu gani tena wamuue ndugu yao kwasababu ipi?

Kwann hao wahusika hawajapatikana?

Swali la ziada, dada wa kazi wa marehemu Anethe Msuya ambaye alikuwapo eneo la tukio amepotelea wapi? [emoji848]
 
Ndugu gani tena wamuue ndugu yao kwasababu ipi?

Kwann hao wahusika hawajapatikana?

Swali la ziada, dada wa kazi wa marehemu Anethe Msuya ambaye alikuwapo eneo la tukio amepotelea wapi? [emoji848]
Naskia Dada wa kaz ktk kesi hiyo kuna wakt aliitwa amtambue mwanamke aliyekuja na mtu mrefu akamnunulia cm nokia wakampa 20 elfu.

Hayo yalieleweka kwa ukiri wa mama msuya. So kuna wakati naskia inaelezwa alikiri sasa sijui kama aligeuka!
Na huyo binti alikiri kuwa ni yeye.

Yaan hiyo kesi ni mauza uza na maruweruwe matupu.
 
Nafsi inamsuta sana na kauli ya Makonda nimeikubali. Hawa Majaji wala rushwa.
Katika kesi Ile makosa yamefanywa na wapelelezi na waendesha mashitaka.
Sijui rushwa, sijui uzembe, sijui uwezo mdogo wa hao niliowataja?!
 
Naamini Mungu aliye wakweli yupo na atatenda, awe mgweno, awe msangi, awe wa gonja, popote pale hata awe mkisii dhuluma ya uhai inalipwa tena kwa kuwahi na Mungu mwenyewe
Huo ndio ukweli,malipo hapahapa
 
Back
Top Bottom