Mke wa Bob Marley alipigwa risasi kichwani akimuokoa mme wake, Vipi aina hiyo ya wanawake wapo Leo?

Wanawake aina hiyo wapo, naongelea wenye dreadlocks lakini..
 

Wanaume pia je wapo?

Kila siku mnawasimanga wanawake tu, nyie mmezibeba nafasi ipasavyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…