njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
unamaanisha nini?suala la yeye kutokuwepo lilishajulikana maana alikuwa keshaenda zambia kwa matatizo ya kifamilia wa kucheza nafasi yake wako wengi hata dilunga,nyoni wanaiwwezaBasi mechi ya leo ya namungo na Simba ni sare au Simba kupigwa kabisa