Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
My condolences!!
So sad....
May her life be a blessing amen!
So sad....
May her life be a blessing amen!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongezea hapo na ajibu.Mbona km wake na watoto wa wachezaji wanakufa sana? Au ni mimi tu nimegundua hili! Aggrey Moris,Mitacha Minacha,Mwamunyeto,na sasa Chama. Something might be wrong somewhere.
It is the same case kwa huyu yf wa Chama?Ongezea hapo na ajibu.
Cha kushangaza wote hao wengi walifariki wakiwa wanajifungua.
Pengine wanapenda kujamiana na wenzi wao kinyume na maumbile. Maana kitendo hiki ni hatari kwa afya wakati wa kujifungua.Ongezea hapo na ajibu.
Cha kushangaza wote hao wengi walifariki wakiwa wanajifungua.
Hao Ni maarufu kwahiyo lazima ujue yakitokea matukio Kama hayoMbona km wake na watoto wa wacheza mpira wa miguu wanakufa sana? Au ni mimi tu niliegundua hili! Aggrey Moris,Mitacha Minacha,Mwamunyeto,na sasa Chama. Something might be wrong somewhere.
Itakuwa maelekezoMbona km wake na watoto wa wacheza mpira wa miguu wanakufa sana? Au ni mimi tu niliegundua hili! Aggrey Moris,Mitacha Minacha,Mwamunyeto,na sasa Chama. Something might be wrong somewhere.
Na wenyewe ni binadamu tu kama sisi. Hivyo nothing wrong at all!!Mbona km wake na watoto wa wacheza mpira wa miguu wanakufa sana? Au ni mimi tu niliegundua hili! Aggrey Moris,Mitacha Minacha,Mwamunyeto,na sasa Chama. Something might be wrong somewhere.
Ndo hapo sasa isije ikawa kuna makafala yanayotolewa bila wao kujua. Michezoni siku hizi kuna ushetani mwingi sana. Makampuni ya kamari,pombe na sigara ndio wadhamini wakuu wa michezo. Vipi km wao ndo wanahusika kwenye haya??Ongezea hapo na ajibu.
Cha kushangaza wote hao wengi walifariki wakiwa wanajifungua.
Too much mzee baba, lazima tuhoji! Mpira wa siku hizi umeingiliwa na ushetani mwingi. Makampuni ya kamari, pombe n.k.Yawezekana kuna kafala zinatolewa bila wao kujua. Kumbuka hata hawa wadhamini wa hizi timu wanalalamika mpira hauna faida cha ajabu wanaendelea kuzing'ang'ani timu kulikoni? Hakuna jambo linalotokea tokea tu bila sababu nyuma yake.Hao Ni maarufu kwahiyo lazima ujue yakitokea matukio Kama hayo
Mi nimejaribu tu kuangalia upande mwingine.Huwezi jua duniani kuna mengi yanayoendelea chini ya kapeti kuliko tunayoyaona kwa macho.Na wenyewe ni binadamu tu kama sisi. Hivyo nothing wrong at all!!