TANZIA Mke wa Clatous Chama afariki dunia

TANZIA Mke wa Clatous Chama afariki dunia

My condolences!!

So sad....

May her life be a blessing amen!
 
Mbona km wake na watoto wa wacheza mpira wa miguu wanakufa sana? Au ni mimi tu niliegundua hili! Aggrey Moris,Mitacha Minacha,Mwamunyeto,na sasa Chama. Something might be wrong somewhere.
Hao Ni maarufu kwahiyo lazima ujue yakitokea matukio Kama hayo
 
Pole nyingi sana zimfikie Clotus Chama kwa msiba huo mzito. Mke ni zaidi ya ndugu/rafiki! Anauma sana, na maumivu yake huchukua miaka mingi sana kuisha.

Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu anachopitia.
 
Ongezea hapo na ajibu.

Cha kushangaza wote hao wengi walifariki wakiwa wanajifungua.
Ndo hapo sasa isije ikawa kuna makafala yanayotolewa bila wao kujua. Michezoni siku hizi kuna ushetani mwingi sana. Makampuni ya kamari,pombe na sigara ndio wadhamini wakuu wa michezo. Vipi km wao ndo wanahusika kwenye haya??
 
Hao Ni maarufu kwahiyo lazima ujue yakitokea matukio Kama hayo
Too much mzee baba, lazima tuhoji! Mpira wa siku hizi umeingiliwa na ushetani mwingi. Makampuni ya kamari, pombe n.k.Yawezekana kuna kafala zinatolewa bila wao kujua. Kumbuka hata hawa wadhamini wa hizi timu wanalalamika mpira hauna faida cha ajabu wanaendelea kuzing'ang'ani timu kulikoni? Hakuna jambo linalotokea tokea tu bila sababu nyuma yake.
 
Back
Top Bottom