Mke wa Dk. Slaa awa kivutio mkutanoni

Mke wa Dk. Slaa awa kivutio mkutanoni

You got it right! hata hivyo mantiki ya post sijui kama umeipata.... but to help u out

nimemalizia na kusema kwa mtazamo wao CCM ni beyond repair in that case hakuna vita ya ufisadi kuipigania ndani ya ccm ni its as good as wasting time,

then conclusion Mama Slaa kuwa CCM ni usanii...[/SIZE]

Mkuu Masatu,

Heshima tena mkuu, mimi nilifikiri wewe unaamini in freedom, sasa kumlazimisha mke awe na imani ya siasa kama ya mume, wewe huoni kuwa ni kukiuka misingi ya haki za kina mama, au wewe mke wako ni lazima afutae imani zako za kisiasa?

Kama this is true, basi hapo mkuu kuna abuse, au?
 
Jamani waungwana, sidhani kuwa kuna asiyefurahia kazi ya kufichua mafisadi aliyoifanya Dr. Slaa. Kwa hilo anastahili pongezi. Sasa je kwa vile alifanya hayo ina maana yeye hajawahi kukosea au ndio hatakosea tena?

Kwa nini mambo yake yanapowekwa wazi watu wanakunja nyuso wakati ni ya kweli na yeye mwenyewe yumo mtandaoni kujitetea? Dr. Slaa na mke wake kwa nyeti nilizopewa hivi karibuni ni kuwa wote walikuwa makada maarufu wa CCM. Yeye Dr. Slaa akaiacha CCM tu pale alipotemwa kwenye kuteuliwa kwenye ubunge.

Sasa ukiachilia mbali hayo aliyokuja kufanya baadaye ya kulipua mabomu ya mafisadi, hatua yake hii ya kuhama vyama baada ya kupigwa panga alikotoka ina tofauti gani na akina Lamwai, Ngawaiya, Tambwe Hiza n.k. waliotoka upinzani na kuingia CCM?? Hawa tumewaita wasanii siku zote, sasa inakuwaje kibao kikimgeukia Dr. Slaa watu wanapiga kelele. Tuwe wakweli na kuiita hali kama ilivyo na isiwe tunaikubali upande mmoja na kuipiga mawe upande wa pili. Kwa kifupi ni kuwa Dr. & Mrs. Slaa wametuonyesha aina mpya ya usanii TZ, mke kada CCM na mume kingunge CHADEMA. This is new in TZ.

Mkuu KJ,

Tunakusikia sana, lakini kuna wananchi wenye matatizo ya kweli katika taifa letu, ambao tungependa kumtumia Dr. Slaa kwa maswali yenye manufaa kwa maisha yetu,

kuliko maswali ya kwa nini mke wake hana imani ya siasa kama yake, nafikiri that is none of our business, James Carville ni Democrat close to Clinton alipokuwa rais, na mkewe alikuwa close to Dick Chenney, hakuna ubaya wowote,

Kuna wenye matatizo ya kweli, na tungependa kuutumia muda wa DR. Slaaa hapa JF kwa manufaa makubwa zaidi ya haya maswali ambayo hayawezi kutusaidia lolote sisi wananchi wanyonge.

Ahsante Mkuu.
 
Mkuu FMES,
Nimekusikia vizuri sana maoni yako. Lakini nafikiri unanielewa vema kuwa mimi sifungamani na upande wowote. Ndio maana nikasema hii article imetuwezesha kudadisi mambo ya maana sana ambayo wengi wetu tulikuwa hatuyafahamu na imetuwezesha pia angalau ku-pscho-analyse (connecting the dots) baadhi ya maamuzi ya Dr. Slaa, hasa kuhusiana na marehemu Wangwe. Nafikiri kama kuna mwenye swali juu ya Dr. & Mrs. Sl;aa, basi tuwaache wayalete na Dr. Slaa akiona inafaa kujibu basi ayajibu.

Akina Carville wao kwao siasa ni ajira na ndio maana hata akina Dr.Slaa nao niliona wazi kuwa kwao pia hii ni ajira tu. Haya mengine wanayoyafanya, mabomu n.k., labda ni katika kuimarisha ajira zao. Naomba tusimuonee aibu, ila tumpe heshima yake na sifa zinazomstahili. Nashukuru.
 
Mkamap,
Mkuu mwanajeshi sio lazima abebe bunduki...tumetoka mbali mkuu.huyasoma maandiko yako hata kama hakutaja jina..kama vile mshabiki wa Yanga pale National stadium...
Mada hii haina tofauti za kimawazo hata kidogo isipokuwa ni uzushaji wa hoja zinazoweza kufurahisha baraza..

Lakini sijaona ulipo omba radhi.
teh teh teh teh teh teh teh teh
Mimi sijapakazia mtu ila ninachosema ktk ILANI ya wahusika swala la UFISADI sina hakika kama lilikuwepo.
Sasa swali langu rahisi kabisa ukiachana na UFISADI ma WARYA wetu wamefanya nini ktk majimbo yao kutekeleza SERA walizoziuza.??

Nataka majibu marahisi kabisa mfano
1.wamehamasisha wananchi ili wajenge chuo cha VETA majimboni kwao
2.Wamehamasisha wananchi ili wanunua angalau ma trekta 30 ili wananchi wawe wanayakodi kwa bei rahsi
3.wamehamasisha kujenga zahanati fulani?
Nataka majibu kama hayo.
 
Mkamap,
Ni muhimu sana kwa wananchi kufahamu jinsi serikali inavyofanya kazi..Tanzania sio nchi ya majimbo wala mikoa kujitegemea hivyo kila mkoa na wilaya zake wanategemea fungu toka serikali iliyopo madartakani kwa maendeleo yao.
Ni CCM ambao wako responsible kwa maendeleo ya Tanzania nzima hata vijiji ambavyo vyama vya Upinzani vimeshinda kwa sababu kulingana na siasa za Tanzania - Winner takes all..
Kwa hiyo unapojaribu kupandikiza mbegu za upinzani kushindwa kuleta maendeleo wakati unafahamu vizuri kwamba chama kushinda jimbo fulani ni usanii mtupu yaani kwa kifupi usanii upo ktk katiba yetu..
Marehemu mbunge wa Tarime nd. Chacha wangwe alikuwa against uwekeshaji wa Barricks ktk jimbo lake na wananchi vile vile walikuwa nyuma yake lakini kilichofanyika nini?..Wangwe hakuwa na ubavu wa kuzuia kitu chochote isisipokuwa kuwakilisha matakwa ya wananchi wake bungeni, maamuzi yote yako huko..
Dr. Slaa Mama Slaa na hata huyo Zitto wanawakilisha matakwa ya wananchi wao na wamechaguliwa kama watetezi halali wa mahitaji ya wananchi wa majiombo hayo.. hii haina maana hawa jamaa wataleta mabadiliko ya maendeleo ktk majimbo hayo... ndio ukweli wenyewe mkuu.
Mjumbe hauawi.....
 
Masatu,
Nimekuwa nikifuatilia mada hii na pengine mada nyingine zote lakini zijaona mahala hata pamoja ambapo kuna mtu kasema - CCM is BEYOND repair...Tusingekuwa tukibishana kuhusiana kitu ambacho kipo ktk hali hiyo hata kidogo...
CCM sio JK, Lowassa au Manji hawa watu wanaweza kuondoka any time na hakuna kitakachobadilika..tofauti yao ni kama kuchota debe la maji ktk bahari..

Ni mimi hapa nimesema hapa....

Its simple Chadema wanaamini CCM imejaa mafisadi, imechoka na haiwezi tena kuongoza. Kamanda wetu ana share kitanda na mmoja wa hao Mafisadi ambao deepdown anaamini CCM ni wameharibika beyond repair.
Swali: Huyu Mama anafanya nini huko CCM kama si usanii? Does this sound to b rocket science?
 
Mkamap,
Ni muhimu sana kwa wananchi kufahamu jinsi serikali inavyofanya kazi..Tanzania sio nchi ya majimbo wala mikoa kujitegemea hivyo kila mkoa na wilaya zake wanategemea fungu toka serikali iliyopo madartakani kwa maendeleo yao.
Ni CCM ambao wako responsible kwa maendeleo ya Tanzania nzima hata vijiji ambavyo vyama vya Upinzani vimeshinda kwa sababu kulingana na siasa za Tanzania - Winner takes all..
Kwa hiyo unapojaribu kupandikiza mbegu za upinzani kushindwa kuleta maendeleo wakati unafahamu vizuri kwamba chama kushinda jimbo fulani ni usanii mtupu yaani kwa kifupi usanii upo ktk katiba yetu..
Marehemu mbunge wa Tarime nd. Chacha wangwe alikuwa against uwekeshaji wa Barricks ktk jimbo lake na wananchi vile vile walikuwa nyuma yake lakini kilichofanyika nini?..Wangwe hakuwa na ubavu wa kuzuia kitu chochote isisipokuwa kuwakilisha matakwa ya wananchi wake bungeni, maamuzi yote yako huko..
Dr. Slaa Mama Slaa na hata huyo Zitto wanawakilisha matakwa ya wananchi wao na wamechaguliwa kama watetezi halali wa mahitaji ya wananchi wa majiombo hayo.. hii haina maana hawa jamaa wataleta mabadiliko ya maendeleo ktk majimbo hayo... ndio ukweli wenyewe mkuu.
Mjumbe hauawi.....

Hapana sikubali
Kazi ya serikali ni kutengeneza manzingira na kwayo wananchi husika wanayatumia kujiletea maendeleo na hatimaye nchi mzima.

Inamaana hata kuhamasisha watu wako wakachanga mfuko wao na wakawa wanajenga nyumba imala na kuuziana kwa bei nafuu ni suala la serikali?

Ina maana kuhamasisha watu wako mkanunua matrekta mkayatumia badala ya jembe la mkono ni kazi ya serikali?

Inamaa kuhamasasha watu mkajenga chuo cha VETA ni kazi ya serikali?

ok tu assume hayo yote ni kazi ya serikali
Na je walipokua wanawaahidi wananchi walikua wanategemea nini ? Kama wameshindwa kuhamasisha vitu vidogo namna hiyo yani kuanza kusolve mambo madogomadogo huko watokako MAkubwa watayaweza je??

kama wameshindwa hata kuhamasisha THEY ARE BETTER FOR NOTHING.
 
Mkuu FMES,
Nimekusikia vizuri sana maoni yako. Lakini nafikiri unanielewa vema kuwa mimi sifungamani na upande wowote. Ndio maana nikasema hii article imetuwezesha kudadisi mambo ya maana sana ambayo wengi wetu tulikuwa hatuyafahamu na imetuwezesha pia angalau ku-pscho-analyse (connecting the dots) baadhi ya maamuzi ya Dr. Slaa, hasa kuhusiana na marehemu Wangwe. Nafikiri kama kuna mwenye swali juu ya Dr. & Mrs. Sl;aa, basi tuwaache wayalete na Dr. Slaa akiona inafaa kujibu basi ayajibu.

Akina Carville wao kwao siasa ni ajira na ndio maana hata akina Dr.Slaa nao niliona wazi kuwa kwao pia hii ni ajira tu. Haya mengine wanayoyafanya, mabomu n.k., labda ni katika kuimarisha ajira zao. Naomba tusimuonee aibu, ila tumpe heshima yake na sifa zinazomstahili. Nashukuru.

Mkuu KJ,

Haya maneno ni hisia zako tu, wala sio ukweli wa DR. Slaa na Mkewe, kwa hiyo tuyaweke kwenye level ya hisia tu, lakini ninawaomba kwamba tumpe nafasi DR. Slaa aweze kuwasaidia wenye shida ya kujua yanayoendelea huko kwenye taifa kisiasa,

kuliko maisha yake personal kwa kweli wengine tunaona ni kumkosea adabu, tujaribu kuutumia mmuda wake hapa kutuelimisha kuhusu yanyoendela huko national, maana haya ya personal hayawezi kutusaidia anything!
 
Schwazeneger ...ni Republican na mkewe ni democrat wa nguvu,aliyejitokeza wazi kuwa anam support Obama.sasa na hayo ni maigizo?

...James Carville ni Democrat close to Clinton alipokuwa rais, na mkewe alikuwa close to Dick Chenney, hakuna ubaya wowote,

Sio kila kinachofanywa na Wamarekani ni sawa. Mngeweza kusema mnachotaka kusema bila kutuhalalishia na mifano ya Mama Carville, Swatzeneger na wame zao
 
Sio kila kinachofanywa na Wamarekani ni sawa. Mngeweza kusema mnachotaka kusema bila kutuhalalishia na mifano ya Carville, Swatzeneger na wame zao

Hili tu ndilo tratizo lako, kwamba kila member hapa lazima afikirie na kuandika kama unavyotaka, ama sivyo inakuwa matatizo,

Katika siasa ni kama sheria, huwa ni kazima kuheshimu mifano na history, hata kama mifano ile ni ya wazungu au wa-Marekani, mfano ni mfano tu na hata tabia zetu nyingi za kisasa Tanzania tumeiga kutoka kwa hao hao wazungu na wa-Marekani, sasa tatizo liko wapi kwenye mfano huu?

Huwezi kuhalalisha political idea bila kuonyesha mfano wa kisiasa au history, you just can't, it is a no! no! kwenye siasa.
 
Its simple Chadema wanaamini CCM imejaa mafisadi, imechoka na haiwezi tena kuongoza. Kamanda wetu ana share kitanda na mmoja wa hao Mafisadi ambao deepdown anaamini CCM ni wameharibika beyond repair.

Swali: Huyu Mama anafanya nini huko CCM kama si usanii? Does this sound to b rocket science?

Neno imejaa mafisadi, haina maana kwamba wote ni mafisadi unless wangesema kuwa wote ni mafisadi, lakini hawakusema hivyo unless kuna something I am missing!

You got it right! hata hivyo mantiki ya post sijui kama umeipata.... but to help u out nimemalizia na kusema kwa mtazamo wao CCM ni beyond repair in that case hakuna vita ya ufisadi kuipigania ndani ya ccm ni its as good as wasting time, then conclusion Mama Slaa kuwa CCM ni usanii...

Masatu nimekuelewa sasa, you do have a point.
Ndipo mahala tunapokuwa na ugomvi mkubwa na wanaCCM kwamba either wamegoma kukisafisha chama au wameshindwa.

Kinachotokea South Africa ni somo muhimu sana kwa sisiemu, hali kadhalika watanzania na hasa wale walioko ndani ya CCM wanaoitakia mema Tanzania (kama wana dhamira ya kweli ya kuitakia mema Tanzania).

.
 
Simfahamu Dr Slaa binafsi.

Elimu na uzoefu wangu wa maisha vinanishawishi kuwa watu aina ya Dr Slaa...wenye; Elimu, Ukaribu na Upendo kwa Wananchi na kiu yake ya kuona maendeleo ya kweli yanatokea Tanzania. Sina punje ya shaka kuwa hata kama angebaki CCM, Dr Slaa asingekaa kimya ingalia nchi inatafunwa na majangili wachache...nina amini popote pale alipo kwenye jukwaa la siasa au kiraia nyota yake kwenye kupiga vita ufisadi ingengata tu.

Wananchi wa Karatu walijua mtu wanayemtaka awawakilishe Bungeni, hawakukaa kimya na kunungunika. Badala yake wakahakikisha kwa njia ya demokrasia wanampeleka Dr Slaa. Kwa kukataa kuyumbishwa na CCM wanastahili pongezi na kupewa moyo.
 
Mkuu KJ,

Haya maneno ni hisia zako tu, wala sio ukweli wa DR. Slaa na Mkewe, kwa hiyo tuyaweke kwenye level ya hisia tu, lakini ninawaomba kwamba tumpe nafasi DR. Slaa aweze kuwasaidia wenye shida ya kujua yanayoendelea huko kwenye taifa kisiasa,

kuliko maisha yake personal kwa kweli wengine tunaona ni kumkosea adabu, tujaribu kuutumia mmuda wake hapa kutuelimisha kuhusu yanyoendela huko national, maana haya ya personal hayawezi kutusaidia anything!

Mkuu FMES,
Leo itabidi tukubaliane kutokukubaliana. Nafikiri matendo ya wanasiasa kwa ujumla, wakati mwingine ni muhimu sana kuyadadisi, hata kama ni ya binafsi, kwani yanaweza kutupa sura halisi ya walivyo au kwa nini wanafanya wayafanyayo.

Binafsi siwaamini wanasiasa kuwa kila wafanyalo wanafanya kwanza kwa faida ya taifa. Wote wana malengo yao binafsi kwanza na ndio maana ni muhimu kuwaelewa walivyo, ili tuweze kuwashurutisha kufanya ya taifa na sio yao binafsi kwanza. Ukiwaachia bila kuwashurutisha, hata iwe ni Dr. Slaa, Zitto n.k., watapigia kelele yale tu yatakayowanufaisha (kwa Dr. Slaa ni ufisadi) na sidhani kuwa shida yetu ni hiyo tu au tunahitaji demokrasia nusu nusu.

Kwa hiyo naomba tukubaliane kutofautiana kuwa, kuna usanii ndani ya siasa za familia ya Dr.Slaa.
 
Watanzania tunatakiwa tuelewe kuwa siasa ni kazi kama kazi zingine.

Wanaojiunga na siasa hawajiungi eti ili waje kuwa masikini milele; hapana. Wao ni binadamu kama ilivyo madaktari, walimu, wanajeshi, wahasibu n.k. Wote wanachagua fani ya siasa kwa sababu wanaiona wataimudu na wakijituma kukamilisha majukumu yake watadhaminiwa kwa mishahara, posho n.k ili mradi wana uhakika wa mkono kwenda kinywani.

Hii dhana ya kuona kuwa mwanasiasa wa "kweli" ni lazima wote wawe watu rahisi rahisi kama alivyokuwa JKN sijui tutaiacha lini???!!!

Tujenge tabia ya kuwahoji hawa wanasiasa kwa matendo na matunda ya kazi zao; maana wapo kazini kama wengine. Dr Slaa angekuwa mkulima na mkewe angekuwa mkulima sithani kama kuna mtu humu angewaita wasanii.

Kwa maoni yangu mwanasiasa ambaye hawezi kutimiza jambo la msingi kama kuongoza au kulisha familia yake vema ni wa kuogopa kuliko ukoma. Kama tuko tayari kuwalipa mishahara viongozi wa dini wanaotufundisha imani ya jinsi ya kufika peponi siku yetu ikifika. Tunaona taabu gani kuwalipa wanasiasa ambao ndio tunawapa jukumu la kuongozi nchi yetu (kiuchumi, usalama, etc).

Siasa ni kazi, wacheni mke na mume wachape kazi. Walipwe ujira kwa jasho lao na sisi wananchi tulalamike kwenye sandugu la kura tukiona wanadhulumu.
 
Kwa hiyo naomba tukubaliane kutofautiana kuwa, kuna usanii ndani ya siasa za familia ya Dr.Slaa.

Sawa sawa, kwa sababu binafsi nina heshima sana na Dr. Slaa kama kiongozi wa taifa, bila kujali chama chake, ninamuona ni mkombozi na ni shujaa wa kweli, sasa labda niseme hivi katika maisha huenda kuna usanii mbaya na usanii mzuri, au hapa JF bado hatujawahi ku-grasp maana ya neno usanii,

Kwa sababu kama Dr. Slaa anatoka kwenye familia yenye usanii as of your words, then basi huo ni usanii mzuri sana kwa taifa letu, na tuwaombe viongozi wengine wote tulionao waujaribu huu usanii wa familia ya Dr. Slaa,

I mean kama yeye kiongozi mmoja mwenye usanii ndani ya familia yake anaweza kushusha mbingu, basi ni vyema taifa tukaukumbatia huo usanii, au?
 
Back
Top Bottom