Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

Sure haya mambo ukiyachukulia serious sana lazima yakuendeshe.
 
Mhh hapa bongo tu huoni watu wanataka kuoa mwanamke mweupe/maji ya kunde lakini wao weusi
Ubaguzi hautakaa uishe
Mkuu hiyo sio RACISM ni COLORISM....

Yaani ndani ya race moja kuna skin pigmentations from pitch black to the lightest.

Watu hua wana favor lightest,hiyo ni universal

Binadamu ni wabaguzi na wakati wa kuoa wana apply ubaguzi

Asipotumia color,atatumia matako,asipotumia matako atatumia urefu,asipotumia urefu atatumia unene au wembamba,etc...

Colorism ni tatizo sana,ila RACISM ni noma zaidi.....

Wachina ni weupe kwa rangi kama Wazungu,ila Wazungu ni wanapendwa zaidi,jamii imewaweka kwenye top tier...

Wote ni weupe kwa rangi ila Wazungu wanaitwa Whites,wao hawaitwi Whites,wanaitwa Chinese au Asians!

Africa,India na Latin America COLORISM ni tatizo kubwa mno..

Tunarudi kwenye Doll Test,mtoto wa miaka mitatu asiejua lolote duniani,ukimwekea a Black and White Doll ukamwambia achague,atachagua White Doll....the scientific reason for that ndio mtihani!
 
Ha ha ha mbona povu mwanaaa,sa we unaoa MZUNGU au mmanga wategemea nn stimu za huba zikikata?😂😂

Alafu mijamaa bwana hawa black americans wengine wanazingua wanaacha warembo mablack wazuri kabisa...sijui wenzetu huko hawapendi misambwanda
 
Duuuh umeandika kwa hisia kali sana, poleeeeh kunywa kwanza maji afu relax.
 
Kwan issue ni kuchanga pesa mzee

Mwanamke ata km hajachangiaa sheria inampendelea


Nimesema kuchanganya pesa na mahusiano. Vizuri ni mikataba tangu mwanzoni, chako chako, changu changu kama vipi nikupige tafu tu.
 
Ubarikiwe sana [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Basi mkuu tumekusikia.
Tutaacha.

Lakini naomba nikuulize akaunt inasoma au umendika tu?
 
Sio wanawake wote wanategemea kupewa wigi, sijui simu na mwanaume wanajiweza tu vizuri, ukiona hivo ujue wamechoka hela haiwezi kukupa furaha kamwe hapa duniani, eti waja wasema raha jipe mwenyewe.
We unasema tu hauwajui vizuri wanawake wenzako tuulize sisi tunaokutana nao na shida wanazoleta. Diamond unaona hadi leo haoi anatia mimba tu unadhani hapendi kuwa na mwanamke wa kueleweka....?!

Kinachomsaidia diamond hadi leo yupo vizuri ni ulinzi wa mama yake mzazi pale kaweka ulinzi. Wakileta mazoea anawabalasa......walikuwa wapi wakati hana kitu leo wanajifanya wanampenda nusu ya kufa....
 
Hivi umesoma vizuri au..?! Huyo mwanamke kama ametengana kwa nia nzuri si amuachie jamaa utajiri mbona anadai mpunga. Acheni usanii bana nyie mtu akishakuwa na mali lengo lenu la kumpurusa linaanza.....

Kyln yule pale anajifanya alimpenda mengi hadi basi ila ukimtazama usoni unaona unafiki mtupu.

Wanawake mnatamaa period.... Labda wewe uwe wa tofauti ila wengi mpo hivyo...
 
Aaaah atapigaje pull na nyapu za kupiga zipo kila kona anita anatomba.... Akichoka anatemana nazo....... Na sasa hivi jamaa anakaribia kuwa bilionea.... Maana networth yake ipo above 500 Milion
 
Reactions: amu
asilimia kubwa wanawake na wao wana sacrifice vitu vingi sana mpaka mwanaume anafika hapo!

Wengine mpaka wanaweka kando carrier zao ili kusimama na mumewe katika kujenga uchumi wa familia!
Huyo wa kujitoa kuachana nae ni ngumu sana..... Kuna wale wakupretend akiona upepo unekukalia vizuri anawahi kujifanya anapambana na wewe kumbe kishaona upepo.....

Dre katoboa muda sana ila ndio alikuwa anakuja juu.....

Ni kama tanasha kumng'ang'ania diamond muda huu unadhani ile mimba amejishikisha ili iwaje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…