Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili swali lol
Kaulizwa jiswali gumu hakyanan,yaan muuliza sjui anataka kumpatia psychotherapy afu amtwange antidepressants amitryptalline sjui loo atare
 
Bora alivyokomeshwa nilitokea kumchukia baada ya kuona interview ya Michelle kale kalikuwa kademu kake kabla ya kuoa huyu mkewe alivyokuwa anakapiga na kalivyo kapole
 
Dawa ya mke anayetaka kugawana mali ni hii

Ova
Your browser is not able to display this video.
 
Dre been a trash human being for a minute. What he did to Eazy was so effin low. Fool puts hands on women, heck slugs too. Dope ass producer, but stank characters. He'll be fine.
 
Reactions: amu
Kama kuna member anamfahamu mke wa huyu jamaa amuoneshe hii quote atakua ameokoa maisha ya mtu.
low f4555 B alafu uchukue utajiri wa mtu....crips and blood wanamaliza kazi
 
Ila marehemu kobe Bryant alipata mke wa kweli licha wazazi wake kobe kumkataa. Kumbuka kamuoa akiwa teenager licha ya kobe kugonga nje yule mdada alimvumilia. Tena ni mlatino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…