Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili swali lol
Kaulizwa jiswali gumu hakyanan,yaan muuliza sjui anataka kumpatia psychotherapy afu amtwange antidepressants amitryptalline sjui loo atare
 
Bora alivyokomeshwa nilitokea kumchukia baada ya kuona interview ya Michelle kale kalikuwa kademu kake kabla ya kuoa huyu mkewe alivyokuwa anakapiga na kalivyo kapole
 
Dawa ya mke anayetaka kugawana mali ni hii

Ova
 
Dre been a trash human being for a minute. What he did to Eazy was so effin low. Fool puts hands on women, heck slugs too. Dope ass producer, but stank characters. He'll be fine.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Amani hiyo ni ya nini bita au corona..... Wanawake ni wabinafsi sana..... Na mnatamaa.... Mtu anakupa mali yake na pesa zake utumie kama zako na unajua source ya kutafuta ni yeye why unaleta usenge.....

Kama unajifanya unaondoka sababu ya maumivu ya hisia nenda basi kaanze maisha yako, unataka utajiri wake ili iwaje.... Usenge tu....

Nilifurahi Michael Jordan mwanamke wake alileta usenge kama huu jamaa ile anapiga chini tu alamba dili kali akapata pesa mara tatu ya zile alizochomolewa na settlement za mahakama.....

Me labda niwe hivi hivi wa kupata vi elfu 50,000 vya kubadilisha mboga, aisee niwe milionea aaaah wanawake ninawapa mimba tu mtoto akifika miaka mitatu nachukua mtoto wangu napita hivi naishi nao fresh tu hadi wanakuwa wakubwa.... Maana wanawake mna mambo ya kisenge sana..... Hela hamtafuti, hata mkitafuta hamna jeuri ya kutumia kwa mwanaume kama vile tunavyoshare nanyi, mnapenda kupewa attention za kifala utadhani ninyi ni watoto wadogo wakati majitu mazima na mna akili timamu.

Mtu unaacha kufocus na majukumu yako ya ndoa unaanza mfuatailia mwanaume katika mambo yasiyokuhusu mara utamani mali zake kisa roho ya ubinafsi imekuingia unataka umtoe roho ubaki na mali zake... Usenge tu..... [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Ila marehemu kobe Bryant alipata mke wa kweli licha wazazi wake kobe kumkataa. Kumbuka kamuoa akiwa teenager licha ya kobe kugonga nje yule mdada alimvumilia. Tena ni mlatino
 
Back
Top Bottom