Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

Mkuu acha kulalamika hao walifunga ndoa na kuwa mwili mmoja, pia mkewe kampatia mengi ikiwemo kumjali hisia na kimwili, kumzalia watoto, hata mumiliki wa Amazon wametalakiana na mkewe wamegawana pasu kwa pasu au ulitaka wavumiliane Hadi waje kuuana ka huku Africa.
Hii kugawana ni kitu nzuri na haki kwa wote
 
We hukumbuki wengi waliochukuliwa utumwani walikuwa KABILA la "kinyamwezi" kwa totoz white balaaaaaa
White man sio white tu kwa rangi,ni caucasian,yaani race ya whites..

Kuna watu Africa ni weupe kabisa,ila sio wazungu yaani caucasian...

Nazungumzia caucasian mzee mwenzangu
 
ananitafutia balaa alasiri hii......
dae urojo amesema haoi mwanamke mweusi akifika kwa waliberali
Lakini hata huko huko kwenu rangi hizo zimejaa labda uamue tu wewe mwenyewe kuchanganya rangi.
Umeghairi kwenda kubeba mmoja kwa mzee Shimba? Ukiwa kule haukosi tuzawadi twa tung'ombe na tumbuzi
 
Umeanza vizuri, lakini ulipoanza kutiririka 'Kizungu' ndipo ulipoharibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…