Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

Yani unataka avumilie kero na maumivu kisa kaolewa na bilionea, eeeh na huyo hajashawishiwa na yoyote kachoka tu mahusiano 24 years kavumilia na kuchoka ka migogoro haiishi. Na amekuja ku notice late money won't buy ur happiness, Kuna watu ni wazee wameachana na kesi ilitolewa talaka mahakamani kabisa.
Hii ya kujifanya kuvumilia ndo watu huuana ka sio kwa pressure kuchomana mikaa.
 
Diddy nafikiri alishtukia mchezo kwa Jenifer Lopez maana aliachwa hivi hivi anaona maana alioza pale na nadhani ilibaki kidogo tu atangaze ndoa

Jenifer akampiga hela na umaarufu akaachwa solemba .

Kim porter kamvumila sana jamaa akiamini atazawadiwa ndoa jamaa kaweka kavu Hana hio habari

Cassie nae vile vile diddy angezubaa kidogo naamini Cassie angemliza [emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana dada wawatu kategaaa wee ndoa jamaa kakaza ikabidi sister wa watu aachie manyanga mwenyewe [emoji3][emoji3]

Ndio hapo Diddy kutambua kuwa angezubaa angekuwa lofa mazjma

Siiku hizi kawakusanya wanae wote wanakaa jumba moja anawasapoti Yuko bize na wanae na self love Hadi kujiita Sean love Combs

Ila Kama hajawa mpiga puli Basi atakuwa anawala Instagram model kimyakimya[emoji3][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeh, Blaza mbona Jazba namna hio, hizo ni sheria zimewekwa na kama hutaki kukumbana nazo basi usioe....simple and Clear.!🙄
 
Mwenye pays ndefu ndio anagawa mshiko so hapo kanye yake itapasulia hio ya kimu itabaki kwake na Kanye ataendela kutoa child support in terms of money Hadi atakapokufa[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii child support kaa la Moto jmn,imagine mtoto is 7 years,yaani pasu umempa mamake anakuwa sc...wed na wengne kwa MPUNGA wako,huku unatumia kilichobak kumsukuma afike 18 yrs,loooo salaaleeee
 
Mzee baba umeamua kujilipua
 
Acha masihala kaka.........
Ndio ilivyo bro sema Kuna wengine wastaarabu huwa hawadai nyingi sana japo wana haki mfano mke wa bezos Mackenzie alikuwa na uwezo wa kudai pasu kwa pasu Ila alidai kidogo tu Leo ana 50b$ wakati bezos ana 161b$

Mwenye nyingi ndio inapasulia yake hasa Kama mlikuwa wote from mwanzo

Sheria za US mwanaume Ni option ya mwisho kabisa anaaza mtoto, mwanamke,mbwa,au paka (wanyama) ndio aje mwanaume

Ila Kuna prenup mfano Dre akioa tena asign prunep kwamba pesa zake na utajiri wake hautogusa pindi waki divorce tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simpsons fvcked up,Tiger Woods fvcked up,Kobe Bryant dead,Ice T fvcked up,Dre shitting on himself now,etc

Hua sielewi inakuaje unashindwa kuoa a human being who looks like you,I really dont get it!
What happened to ice T?
 
Hyo prenup haipo kipindi Cha ndoa ya Kwanza?
 
walah wengi wetu tungebaki bachelor,
Ndoa is just sharing experiences tu...
Kiimani ni kuwa tunatimiza agano la Allah,Jehovah,Yahweh,Adonai that WE MEN HAVE BEEN CREATED MUSCULINE FOR caring our women and children then we gonna be paid huko tuendako...let's do our job kumridhisha mfalme wa wafalme otherwise kiduniadunia ndo masela huoni wanaikataa ndoa mpka wanaingia 40s😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…