cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Yani unataka avumilie kero na maumivu kisa kaolewa na bilionea, eeeh na huyo hajashawishiwa na yoyote kachoka tu mahusiano 24 years kavumilia na kuchoka ka migogoro haiishi. Na amekuja ku notice late money won't buy ur happiness, Kuna watu ni wazee wameachana na kesi ilitolewa talaka mahakamani kabisa.Aseme tu ameingia tamaa wenzake wamemshawishi azingue ili jamaa amegwe utajiri na mahakama wagawane mali.
Huko ulaya mataasisi ya mawakili wa ndoa na mahakama zinamake profit sana kwenye migogoro ya ndoa kama hii. Sometimes haina hata ulazima wa kuachana ila jamaa watapush watu waachane ili wao wapige hela......
Hii ya kujifanya kuvumilia ndo watu huuana ka sio kwa pressure kuchomana mikaa.