Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

hawa wanawake wa kiislamu wenyewe wapuuzi tu, dunia ya leo unaendaje kuolewa mke wa pili, eti mpaka wa tatu. kwa maisha haya yaliyojaa stress Mwaka mwenyewe anajipatia rizki kwa njia ya udanganyifu amekaa kitapeli taoeli eti dokta, kasomea wapi. Maisha haya mke wa pili wanawake wenyewe wanataka awe na mwanaume muda wote na hawaridhiki kirahisi unaenda kumwolea wa pili mara paaap umeshindwa majukumu sasa unadhalilika, mke mpja alikuwa hamtoshelezi? sifa za kijinga tu. Jifunzeni kwa mzee Kikwete ana kila kitu ila mke wake moja tu
 
Ya Dr Mwaka unanisingiziaje mimi mkuu ? hutaki kupewa taarifa ?
 
taarifa zako zimekaa kinafiki na chuki dhidi ya imani nyingine,,, hizo takbirr na taarifa zako zina uhusiano gani,,,
 
Ya Dr Mwaka unanisingiziaje mimi mkuu ? hutaki kupewa taarifa ?
Taarifa zako zimekaa kiumbea na unafiki dhidi ya imani nyingine,,, ok taarifa za dokta mwaka na takbir zinahusiana nini ,.. ndio maana nikakuuliza,, utaweza kweli kuongoza makundi tofauti ukipewa dhamana na hiko chama chako unachokinadi kutwa kucha humu!!
 
Hakuna biashara nyepesi kama kufanya biashara na desperate woman...hawa madaktari wanaojitabainisha wa uzazi wanapiga hela mnoo wanajitajirisha mnoo aisee na hili suala la nguvu za kiume ndo balaa kumbe uongo mtupu na kujifanya ma motivesheni spika wa ndoa..wapi nyiee
 
Hapa kazi ipo, naona kama bado anampenda huyu bi mdogo. Mapensi bana asindikizwe na ile nyimbo ya kuachwa kuachwa...... pole zake.
 
 
Ndoa haivunjwi kiholela vile bila kusikilizwa pande mbili, msifikiri kisa mtu akisema tu jambo fulani ni kuivunja tu bila uthibitisho. Dini haiendeshwi kama daladala useme kila taratibu unajiwekea.
Sio kweli.... Mbona mwanaume akiamka na kuamua kutoa talaka anatoa na inakubaliwa,ila kwa mwanamke kuomba talaka ndo mnasema mpaka pande mbili zikutane!!!!!????kuna kitu hujui kajaribu kujifunza
 
Monica wa Masanja(msukuma)

Queen wa Mwaka(msukuma)

Mke wa Masawe( msukuma) aliyegoma kumzika mumewe bagamoyo

Orodha iendelee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…