kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
Kama huyapendi achana nayo fanya mambo yako. Hulazimishwi.Hao ndo wanaume[emoji1787] wanataka mwanamke wa kumtawala ili wamnyanyase shenzi type. Huyo dada hapo hatoachika. Ataendelea kuwa mtumwa hadi afe.
Majanume ya hivi siyapendiii.
Na hayataki ufanye kazi. Mbafff
Tuone wenzetu wananyanyaswa tunyamaze tu. Ili mzidi kuwaua. Angefanyiwa mama yako ungefunga domo?Kama huyapendi achana nayo fanya mambo yako. Hulazimishwi.
YesTuone wenzetu wananyanyaswa tunyamaze tu. Ili mzidi kuwaua. Angefanyiwa mama yako ungefunga domo?
Exactly, corruption.
BAHASHA [emoji1787][emoji1787]Headline gazeti la kesho MAULAMAA wamrejeshea Dr. Mwaka mke
Atoe talaka mali wakagawane mahakami hukoo anachohofia mwanamke atapata fungu lake ndio maana anataka mali mapemaa.Hujaelewa post. Dr Mwaka hataki ndoa anasema anataka baadhi ya mali zake. Only that!
Atoe talaka mali wakagawane mahakami hukoo anachohofia mwanamke atapata fungu lake ndio maana anataka mali mapemaa.
Hivi kuna watu wanaamini masuala ya ndoq au mapenzi yana darasa!?Wakuu
Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto.
Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye kusomesha watoto kashindwa eti kisa arudiane na mke ndio atasomesha kumbe nae mwaka akili kisoda.
Wanaume tunasema hatutaki tena mafundisho yake uchwara ya ndoa, maana kwake hayajafanya kazi kwetu itakuaje si atafanya na ndoa zetu zivunjike.
View attachment 2493377