Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Hao ndo wanaume[emoji1787] wanataka mwanamke wa kumtawala ili wamnyanyase shenzi type. Huyo dada hapo hatoachika. Ataendelea kuwa mtumwa hadi afe.
Majanume ya hivi siyapendiii.

Na hayataki ufanye kazi. Mbafff
Kama huyapendi achana nayo fanya mambo yako. Hulazimishwi.
 
Na pia anaumia kuona anamuacha huru hivyo ataolewa na mwingine
Atoe talaka mali wakagawane mahakami hukoo anachohofia mwanamke atapata fungu lake ndio maana anataka mali mapemaa.
 
Wakuu

Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto.

Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye kusomesha watoto kashindwa eti kisa arudiane na mke ndio atasomesha kumbe nae mwaka akili kisoda.

Wanaume tunasema hatutaki tena mafundisho yake uchwara ya ndoa, maana kwake hayajafanya kazi kwetu itakuaje si atafanya na ndoa zetu zivunjike.



View attachment 2493377

Hivi kuna watu wanaamini masuala ya ndoq au mapenzi yana darasa!?
 
Back
Top Bottom