Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Ampe uhuru binti wa watu akaolewe ,,

Ndoa sio utumwa.
Anamuweka mke mwaka bila matunzo na tendo la ndoa,

Hivi kwl ndy ndoa inavyokuwa?

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Mkiachwa mnachachawa hakuna cha kufulia, tena mnalia kwa kamasi kabisa live, mi aliniacha kwa mbwembwe nilipopata mtu wa kunioa alilia mbele ya kadamnasi hadharani alimwaga machozi alitambaa lakini ilikuwa too late,, baadhi ya wanaume mna ujinga mwingi
Mwanaume huwa hazeeeki wewe ukichapwa mimba moja tumbo linashuka... Manyama kama yote unakuwa Lima baada ya miaka mitano.

Ila huyo mwanaume ndio Kwanza anakuwa mama kazaliwa hata baada ya miaka 20 na watoto wazuri wanazaliiwa daily ni kusaka hela na kuzila Mbususu

Huyo mwenyewe aliekuoa akikuzalisha mara 2 au 3 atakuwa anakuona kama limama Tunaanza kusumbuana mtaani kugombania pisi kali

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Haya maisha ya ajabu sana utakuta anayefundisha kuhusu kujikwamua kutoka kwenye kupungukiwa nguvu za kiume yeye mwenyewe hana hizo nguvu
 
Haya maisha ya ajabu sana utakuta anayefundisha kuhusu kujikwamua kutoka kwenye kupungukiwa nguvu za kiume yeye mwenyewe hana hizo nguvu
Mjini watu wanaishi kwa akili, nguvu peleka bush uko[emoji16][emoji16]
 
Mwanaume huwa hazeeeki wewe ukichapwa mimba moja tumbo linashuka... Manyama kama yote unakuwa Lima baada ya miaka mitano.

Ila huyo mwanaume ndio Kwanza anakuwa mama kazaliwa hata baada ya miaka 20 na watoto wazuri wanazaliiwa daily ni kusaka hela na kuzila Mbususu

Huyo mwenyewe aliekuoa akikuzalisha mara 2 au 3 atakuwa anakuona kama limama Tunaanza kusumbuana mtaani kugombania pisi kali

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sasa kinachowaliza ni nini??

Uzuri kila mtu kapewa kichwa chake na akili yake sasa kudhani akili yako ndo ya watu wote iko hivyo hapo unakuwa kama mfalme juha,

Sio wanaume wote wanamaliza maisha yao kwenye kukimbizana na chuchu, toleo jipya nk, maana hata waliojifanya kukimbizana nazo walikufa kwa fedheha sana
 
0bd521e5-b0d8-4153-bc7a-996aef067405.jpg
 
Unamatatizo ww labda inawezekanq ukawa ww ndy yule shehe ubwabwa anayejiita shekh wa daresalaam

Sibishani na wwpuuuzi kama nyie mashehe ubwabwq
Wacha matusi jikite kwenye hoja,

Mke akishakwambiya hakutaki hata Dini inaeleza umpe talaka.

Sasa iweje mke akae mwaka mzima bila kupata haki zake za ndoa na matunzo ,,
useme bado una ndoa nae,

Kikao kilichovunja ndoa ni jopo zima la mashehe pamoja na Kadhi wa mkoa,,

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Hapa sasa huenda mganga Mwaka ameshatembeza mlungula ili apate haki.

Ila amini nawambieni huko mbele ya safari huyo Dada akidhurika ni hao mashehe uchwala wanaojita maulamaa ndy wanahusika.

Mke ameshasema hataki ndoa kwann analazimishwa?

Au mpaka aseme mwaka anamwingilia kinyume na maumbile?

Msilazimishe ndoa,hizi sio Zama za mawe.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Wacha matusi jikite kwenye hoja,

Mke akishakwambiya hakutaki hata Dini inaeleza umpe talaka.

Sasa iweje mke akae mwaka mzima bila kupata haki zake za ndoa na matunzo ,,
useme bado una ndoa nae,

Kikao kilichovunja ndoa ni jopo zima la mashehe pamoja na Kadhi wa mkoa,,

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Acha uhuni ww nani aliye tangaza kuvunja ndoa ya mwaka na q

Unafikiri ndoa zinavunjwa vunjwa kiholela holea tuu kisa mwanamke hamtaki mme wake?

Kuna utaratibu wake.

Mwaka anataka ndoa yake ivunjwe na kadhi si na huyo shehee ubwabwa
 
Nimekwambia kama hujui kitu nenda kasome vizuri dini uache kukariri, huo uamuzi wa wale Masheikh umeshavunjwa na ndoa Ni halali hivi sasa. Kwanza hawana mamlaka ya kushughulika na masuala hayo
Mbele ya BAHASHA chochote kinawezekana,

Ndoa sio utumwa,
Ni makubaliano ya watu 2,

Kama mmoja hataki utalazimisha ili iweje?
Kinachofanyika ni huyo mganga uchwala kutaka kumkomoa mwanamke.

Ndoa hakuna hapo

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Hua nashangaaga sana Watu kutamba kwenye Media kua wao ni wajuzi WA maswala ya ndoa,

Wapo wengi this Year mtawaona, this round watakubali.
 
Back
Top Bottom