Mke wa hayati Mrema akimlilia mumewe

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,778
Reaction score
21,010
Jamani mshahesabiwa huko?
Your browser is not able to display this video.

Wandugu Kama mjuavyo penye msiba hapakosi kilio... huyu hapa chini ni mke wa hayati Mrema akimlilia mumewe kwa uchungu...

Wanazengo wengi wametoa maoni yao kwamba hiki sio kilio cha kweli kwani mliaji wa ukweli hawezi kulia na miwani, pia mliaji wa kweli anatoa machozi, pia mliaji huyu bado ana nguvu zake za kutosha tofauti na wafiwa wengine wenye uchungu ambao huwa walegevu na kukosa nguvu.

Pembeni anaonekana kijana wa Mzee Mrema ambaye amebeba msalaba akiwa na sura yenye umakini akitupilia jicho kwa mama yake huyu mdogo ambaye yuko bize na kilio.

Binafsi siwezi kumsemea siwezi kumsemea huyu mwanamke kwa kuwa mfiwa ndio anajua zaidi.
 
Ila Huyo mdada bado ni mbichi sana na ameonesha alimpenda sana mwenye namba yake anisaidie plz ,,naweza ogelea Kwa hiyo swimming Yuko poa sana aseee,,,
 
Upweke mbaya sana,Kwan kuoa ilikuwa lazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…