05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,650
Nipo hapa nje ya guest nimesimama kwakujifucha, mke wa jamaa angu aliingia ndani humu mda mrefu Sana . Saiv ndo anatoka Ila sijui nifanyaje.
Ipo hivi ... Toka zamani Sana Me nilikua nimesha amua kuokoka, Yan in short niliamua kua sintokua mtu wa toto's siku zote tukiwa tunakua... Ila jamaa mwenye huyu mke wake hapa ambae ndo anatoka guest na kijeba kingine huwa hajawahi acha kunidhihaki kuwa wanawake watanifanya ndondocha.
((Sasa huyu jamaa ang, tutamwita Bichwa. Na Mimi ni Mimi mwenyewe 0005 . Na mazingira yetu haswa ni Iringa Ila now Mimi nipo Mbeya.))
Ikawa nimeish ktk kujitunza Ila daima Jama huwa ananiletea dhihaka Sana linapokuja swala la Mahusiano, japo namkataza Sana kunifanyia hivyo Ila mzee kichwa ngumu.
Kimsingi licha ya utuliv wangu mpaka Leo sijaweza kudate na mtu mmoja Hadi ndoa...
Hapo Kati Mahusiano karib matatu yalivunjika kwa sababu mbali mbali... Ikiwemo uchumi duni, kutofautiana mawazo na uhuni kwa miongoni mwa wanawake husika.
Last time nimepata mdada mpya (mwaka huu huu ) Jama kaniletea zawadi ya saa, anasema niwe naangalia mda. Means ananitania kuwa YANA MUDA BASI ?? MTAACHANA TU.
Hii saa ni Rolex, ni kama ya gharama Sana na sijaipenda kiukweli ila sabab hua sina saa ya hadhi basi huwa naivaa .....
Leo nikiwa pale mafyati (tughimbe ) ghafla nilimyona mke wa jama (Bichwa) anakatiza na mwamba mwingine (it seems mchepuko wake the way wameshikana mikono)
Nikajarib kumchunguza kwa Siri nikaona wanaenda nyuma ya ukumbi usawa wa hospital ya k's... Nikashtuka. Nikawaza je labda Sio mchepuko ni brother ake Wana mgonjwa pale hospitali ya K'S.
Nikampigia Jama sim.
Mimi: Oy mze ??
Bichwa : Oy mze, nambie we mlokole za huko Mbeya ?
Mimi: unyama, vipi shemej mzma ?
Bichwa: shemej zako wote wazma kuanzia wife Had wengine wote.
Mimi: ah me namwulizia wife wengne hapana.
Bichwa: wife mzima kaenda kusalimia home kwao.
Mimi: ah kumbe hayupo huko Iringa.... Kwan kwao ni mbeya ?
Bichwa: hapana kwao ni songwe we kiazi ameondoka toka Jana.
Mimi : Ah unyama nilimfananisha na mtu nimemwona hapa mbeya.
Bichwa: ah. Amna yupo kwao Songwe.
Mimi : sawa mze.
Bichwa: haya mlokole nasubir mda ifike uachane na huyo ulonae umpate mwingine changamoto yako wewe ni mzembe Sana. Uwe unaangalia saa hiyo. Nakwambia Mambo ya kuwa na mpenzi mmoja haitapita mda utalizwa tu.
Me nikakata sim nikaelekea upande wa hospital ya k's kuchungulia couple ya Shemeji na kijeba chake nione wanaingia k's hospital au lah.
Nikaona wamepitiliza... Sabab mitaa husika ya mbeya naipata vizuri Sana. Nikasogea nao kwa Siri wasinione niangalie wanaenda wapi..... Mana kwa mbaali nikawa nishaelewa jambo hapo.
Baada ya kukunja Kona ya K's couple ya Shemeji na kijeba ikaingia guest house ya KAPWENJE ... Nyuma tu ya ukumbi wa TUGHIMBE.
Bas nikawa nipo pale nimesimama usawa wa K's kwa mbali na guest ... Nawaza nimpigie Bichwa au lah. (( moyo unasita. ... ANAMANENO YA SHIMBO SANA HUYU MWAMBA))
Bas nikaona nirecord mda ambao Shem atautumia kukaa mule guest mpaka atakapo toka ndo nimpigie ili niwe na ushahidi tosha.
Basi nikaangalia mda kwenye saa alonigea ili niwe naangalia mda wa Mahusiano yangu kabla sijalizwa nikatulia pale nje.... Now imepita mda mrefu Sana.
Mpaka sasa Shem ndo anatoka... Shida ilonikumba ni kuwa najarib kucheck saa kumbe saa ya Bichwa alonizawadia niwe naangalia mda ambao Mahusiano ya mapya yatadum imesimama (mishale imeganda toka mda ule Shem kainhia mle ndani)
Sasa nimebaki nawaza nifanyaje ... Nikatengeneza hii saa au nimrudishie Jama nimwambie kwamba saa yake haifanyi kazi ???.