Mke wa jamaa kaota usingizini kasema “John una uume mnene” halafu kashtuka

Mke wa jamaa kaota usingizini kasema “John una uume mnene” halafu kashtuka

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Usingizini mbaya sana hasa unaoambatana na ndoto za kuongea.

Mke wa jamaa yangu hapa Kiwira, Tukuyu Mbeya ameota kwa sauti akisema "John uume wako mnene" huku jamaa haitwi John anaitwa Nsangalufu tumezoea kumuita Nsakaisi jina la utani.

Alipoota hivyo akashtuka akaamka akaenda kukojoa kwenye ndoo ya kukojolea wanayolalanayo chumbani.

Source mshkaji mwenyewe. Pia hajui lolote kuhusu JF so hawezi Soma huu Uzi.

Anaomba ushauri kwamba ni ndoto tu au ni ukweli?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapo john kashakulaa mamaee mabahari sio poa.. Mpaka demu anaotaa dudu aisee dozi inamkolea sanaa
Be serious mzee wa kumega kimasihara
 
Huyo nsangalufu apigie mstari tu kuwa mkewe alimaanisha ...alikolezwa hd akaliwaindi ndotoni [emoji23][emoji23], ..mwambie tu jamaa napita hapo kiwira mida ya saa 5 asbh naelekea Ushirika Tukuyu aniandalie ndizi kisukari na makatapera
 
Kwa msisitizo mkali Sana naomba niseme hivi.

"KAMA UMEOA NA MKE WAKO ANAKOJOA KWENYE KINDOO AU KWENYE KIKOPO NDANI WEWE MWANAUME NI MPUMBAVU"
 
Mmh ni John huyu au yule?
Mtembezi
4e93101dfed20927e9ff4a3595eccfc0.jpg
 
Back
Top Bottom