umenena vyemaNdoa ya mtu hiyo kaka wala usijaribu usijehama mji. Mke wa mtu si msichana, huwezijua may be ametengeneza deal na mumewe ili ufumaniwe ndo hata ile 500 k haitatosha itakubidi utop up. Jitunze best kama una mke dumu naye kama huna vumilia lakini never give in to hicho kishawishi. Mwambie unampenda vilevile but kama mke wa mtu tena mdeni wako!
roy kumbuka unadaiwa...usijishaue shaue apa tena una madeni makuuuuuuubwa...aya hima hima do the nidful!!!!!!!!Punctuation kwanza....then fiction...
umenena vyema
nenda kayatende uliyoyaskia kwa mtume wangu genekai
ukikana shngo yako itagota na hakutakuwa na msaada tena pasi na huo.
naamini umeniskia mpendwa.
kimbia zinaa mkimbie shetan kwa nguvu zako zote na kwa maneno yako yote na kwwa vitendo vyako vyote ..amini nakwambia yule amgusaye mke wa mdeni wake amelaaniwa na wala deni lake hatalipwa bali atadaiwa na baba wa mbinguni na mwenye mke pia dinali kumi na mbili na vishungi 10 vya dhahabu na manemane!!!!!
roy kumbuka unadaiwa...usijishaue shaue apa tena una madeni makuuuuuuubwa...aya hima hima do the nidful!!!!!!!!
hahhhhhaaaaaaaaaahahahaaaaaaa!!!!!!1 sawa baba ntaitoa!Vizuri sana.Sasa hii avator yako bana inakuwa tena kama mke wa mdaiwa Duh
jua limekucha likizama bila kuleta dinali zangu saba za ubuyu ntakufundsha adabu...yap i wl teach u a lesson u wl neva foget oooooooooo!!!!!!!Hivi sikulipa eh.....a minutes please...:kiss:
mfamaji ina maana unamjua mke wa mdaiwa?au we ndo mwnye den?Vizuri sana.Sasa hii avator yako bana inakuwa tena kama mke wa mdaiwa Duh
jua limekucha likizama bila kuleta dinali zangu saba za ubuyu ntakufundsha adabu...yap i wl teach u a lesson u wl neva foget oooooooooo!!!!!!!
m from lagos n ur from abuja m lways top of u if nt top on u so b carfull ma dearest onkoko royaroy!!!!!!!!!!
wen u come to ma compound remember to bring palm wine do u hear me?yes i sayd t.ova.
Jamani mimi nina Jamaa nilimpa kazi yakuniwekea umeme kwangu lakini akaleta mita ina unit1000 halafu haishuki baada yakugundua nika sema sasa nataka vya halali nikaanza kufuatilia tanesco nikapata lakini jamaa namdai500000 ananipanusunusu mpaka sasa namdai 150000 cha ajabu nikienda kwake mkewe anamponda mmewe kwamba kazidi na anasema atanisaidia mwishowe kasema shemeji ninamazungumzo nawewe lakini faragha jamaa asijue nikakubali nikakutana naye akaanzakunipa mtungi nikasubili aniambie mpaka naondoka akasema nakupenda nakuomba uwe wazi kwangu kama umekubali!!Je nifanyeje??