KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Jamani mimi nina Jamaa nilimpa kazi yakuniwekea umeme kwangu lakini akaleta mita ina unit1000 halafu haishuki baada yakugundua nika sema sasa nataka vya halali nikaanza kufuatilia tanesco nikapata lakini jamaa namdai500000 ananipanusunusu mpaka sasa namdai 150000 cha ajabu nikienda kwake mkewe anamponda mmewe kwamba kazidi na anasema atanisaidia mwishowe kasema shemeji ninamazungumzo nawewe lakini faragha jamaa asijue nikakubali nikakutana naye akaanzakunipa mtungi nikasubili aniambie mpaka naondoka akasema nakupenda nakuomba uwe wazi kwangu kama umekubali!!Je nifanyeje??