Mke wa Jamaa ninayemdai!!

Mke wa Jamaa ninayemdai!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Jamani mimi nina Jamaa nilimpa kazi yakuniwekea umeme kwangu lakini akaleta mita ina unit1000 halafu haishuki baada yakugundua nika sema sasa nataka vya halali nikaanza kufuatilia tanesco nikapata lakini jamaa namdai500000 ananipanusunusu mpaka sasa namdai 150000 cha ajabu nikienda kwake mkewe anamponda mmewe kwamba kazidi na anasema atanisaidia mwishowe kasema shemeji ninamazungumzo nawewe lakini faragha jamaa asijue nikakubali nikakutana naye akaanzakunipa mtungi nikasubili aniambie mpaka naondoka akasema nakupenda nakuomba uwe wazi kwangu kama umekubali!!Je nifanyeje??
 
Ndoa ya mtu hiyo kaka wala usijaribu usijehama mji. Mke wa mtu si msichana, huwezijua may be ametengeneza deal na mumewe ili ufumaniwe ndo hata ile 500 k haitatosha itakubidi utop up. Jitunze best kama una mke dumu naye kama huna vumilia lakini never give in to hicho kishawishi. Mwambie unampenda vilevile but kama mke wa mtu tena mdeni wako!
 
unategwa mkuu, we jaribu uone cha moto
 
Ndoa ya mtu hiyo kaka wala usijaribu usijehama mji. Mke wa mtu si msichana, huwezijua may be ametengeneza deal na mumewe ili ufumaniwe ndo hata ile 500 k haitatosha itakubidi utop up. Jitunze best kama una mke dumu naye kama huna vumilia lakini never give in to hicho kishawishi. Mwambie unampenda vilevile but kama mke wa mtu tena mdeni wako!
umenena vyema
nenda kayatende uliyoyaskia kwa mtume wangu genekai
ukikana shngo yako itagota na hakutakuwa na msaada tena pasi na huo.
naamini umeniskia mpendwa.
kimbia zinaa mkimbie shetan kwa nguvu zako zote na kwa maneno yako yote na kwwa vitendo vyako vyote ..amini nakwambia yule amgusaye mke wa mdeni wake amelaaniwa na wala deni lake hatalipwa bali atadaiwa na baba wa mbinguni na mwenye mke pia dinali kumi na mbili na vishungi 10 vya dhahabu na manemane!!!!!
 
Vizuri sana.Sasa hii avator yako bana inakuwa tena kama mke wa mdaiwa Duh
 
Hiyo ni rushwa, wahi kwa hosea
 
kama hawataki kukulipa hela yako achana nao kakakiiza umeshapata vingapi mpaka umri huo?
usijejikuta unaingia matatani
 
duh kumbe ule mtego aliokuwekea Aspirin unakaribia kunasa mtu hiyo 150,000 sasa itarudi kwako na kutop up 1,850,000
 
Vizuri sana.Sasa hii avator yako bana inakuwa tena kama mke wa mdaiwa Duh
hahhhhhaaaaaaaaaahahahaaaaaaa!!!!!!1 sawa baba ntaitoa!
utanifundsha hesabu?
2+6 find mean
2-7 find mode
 
Hivi sikulipa eh.....a minutes please...:kiss:
jua limekucha likizama bila kuleta dinali zangu saba za ubuyu ntakufundsha adabu...yap i wl teach u a lesson u wl neva foget oooooooooo!!!!!!!
m from lagos n ur from abuja m lways top of u if nt top on u so b carfull ma dearest onkoko royaroy!!!!!!!!!!
wen u come to ma compound remember to bring palm wine do u hear me?yes i sayd t.ova.
 
Kakakiiza,

Mkuu naamini wewe una dini yako halali na wala binafsi sihitaji kuifahamu, ila tu maandiko Matakatifu kwenye Msahafu wa Kikristo (Biblia) unataja dhambi nyingi sana. Dhambi zote kwa mujibu wa Biblia zinahukumu sawa mbele Mungu na binafsi kwa elimu yangu ya Theolojia ya miaka 3 ni dhambi moja tu ambayo maandiko yanatutaka TUIKIMBIE, ........."ikimbieni zinaa........."

Mkuu acha kufanya mapenzi na mke wa mtu, hapo utakuwa unatenda dhambi tena ya Zinaa wakati Biblia inatutaka tuikimbie! Lakuambiwa changanya na lako!
 
Vizuri sana.Sasa hii avator yako bana inakuwa tena kama mke wa mdaiwa Duh
mfamaji ina maana unamjua mke wa mdaiwa?au we ndo mwnye den?
anafanana na mimi?duhh kazi kweli kweli
njo nkufundshe hesabu manake mi kwa hesabu chboko nazjuaaaaaa izo acha!!!
 
jua limekucha likizama bila kuleta dinali zangu saba za ubuyu ntakufundsha adabu...yap i wl teach u a lesson u wl neva foget oooooooooo!!!!!!!
m from lagos n ur from abuja m lways top of u if nt top on u so b carfull ma dearest onkoko royaroy!!!!!!!!!!
wen u come to ma compound remember to bring palm wine do u hear me?yes i sayd t.ova.

Can't resist the wink....count it done...though not on top of me..
 
Jamani mimi nina Jamaa nilimpa kazi yakuniwekea umeme kwangu lakini akaleta mita ina unit1000 halafu haishuki baada yakugundua nika sema sasa nataka vya halali nikaanza kufuatilia tanesco nikapata lakini jamaa namdai500000 ananipanusunusu mpaka sasa namdai 150000 cha ajabu nikienda kwake mkewe anamponda mmewe kwamba kazidi na anasema atanisaidia mwishowe kasema shemeji ninamazungumzo nawewe lakini faragha jamaa asijue nikakubali nikakutana naye akaanzakunipa mtungi nikasubili aniambie mpaka naondoka akasema nakupenda nakuomba uwe wazi kwangu kama umekubali!!Je nifanyeje??

Usithubutu mkuu, wanakutengenezea mtego hao, ukinasa hutatoka. Yaani utafumaniwa, na utalipa fidia kubwa, so utajeuka kuwa mdeni wao. Kaa chonjo.

Jamani mimi nina Jamaa nilimpa kazi yakuniwekea umeme kwangu lakini akaleta mita ina unit1000 halafu haishuki baada yakugundua nika sema sasa nataka vya halali nikaanza kufuatilia tanesco nikapata lakini jamaa namdai500000 ananipanusunusu mpaka sasa namdai 150000 cha ajabu nikienda kwake mkewe anamponda mmewe kwamba kazidi na anasema atanisaidia mwishowe kasema shemeji ninamazungumzo nawewe lakini faragha jamaa asijue nikakubali nikakutana naye akaanzakunipa mtungi nikasubili aniambie mpaka naondoka akasema nakupenda nakuomba uwe wazi kwangu kama umekubali!!Je nifanyeje??

pole kakakiiza, ndo matatizo ya kuoa kahaba!ucheze tu huo mziki nadhani uliupenda toka mwanzo!!!!!
 
Back
Top Bottom