nchonga aliyebaki
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 574
- 834
ni kweli mkuu tatizo wengine hawajielewiMaproducer wote wakubwa wangekua Na attitude Kama ya huyu jamaa bs mziki WA bongo ungekua na thamani Sana na wao wangekua vzur Sana kiuchumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli mkuu tatizo wengine hawajielewiMaproducer wote wakubwa wangekua Na attitude Kama ya huyu jamaa bs mziki WA bongo ungekua na thamani Sana na wao wangekua vzur Sana kiuchumi
wanaota watanzania kama mazezetaBig up Majani, wamezoea kutuona wa-Tanzania ni wapole na watu wa kusamehe.
na huyo atatandikwa za usoSubiri siku ukitandikwa wewe ndio utaskia.
unapenda wapigwe wenzako tuMbona kwenye vibao sijasikia?
adamu mchomvu ???? hahahaHuyu jamaa alishampigaga vitasa mchomvu
ilikuaje hii Mkuu eemmh tupe dondoo kidogoHuyu jamaa alishampigaga vitasa mchomvu
kumbe we ni mkweo hayeyeyeye, muulize dogo janja kilichompata hapa hahahaSafi sana baba mkwe
Sijaona mahali anamtia vibao.P. Funk kweli mtemi.. ugenini ila anakutia vibao ... hapo ameonesha tofauti kubwa sana na watanzania wa kawaida... ile tabia yetu ya kusema namwachia Mungu inatufanya wageni watuone mazuzu