Mke wa Jose Chameleone ashuhudia mmewe akitandikwa mabanzi na P-funk majani Kampala

Mke wa Jose Chameleone ashuhudia mmewe akitandikwa mabanzi na P-funk majani Kampala

nimeview hiyi video nikawa nasoma screen shots hahaha kamilion anajishusha kama mtoto eti bro bro, hahaha ameshasimuliwa na kina fande sele dudu baya na wengine waliowahi kula makofi kwa kinywelee
ni kweli haha
 
Chameleon huwa mpumbavu sana, siku moja nikiwa pale Kyaka mwaka 2010 nikielekea Uganda tukakutana nae pale ofisi ya Uhamiaji akitokea kwenye Show Bukoba mjini.

Kwanza alituma wapambe wamgongeshee pasipoti yake, Maafisa Uhamiaji wa kile kituo wakagoma, wakasema lazima aje physically.

Basi jamaa akaja kwa spidi flani huku anajikongoja na gongo (inasemekana aliangukaga kutoka ghorofani akiwa usingizini huko Arusha) huku akilalalamika kama kakosewa vile.

Akaja akanipita kwenye mstari akasimama mbele yangu. Na mimi sikumkopesha, nikashika shati nikamrudisha nyuma. Akaanza kuniletea umaarufu wake nikamwambia tulia kijana ntakutoa manundu, akaufyata.
 
Chameleon huwa mpumbavu sana, siku moja nikiwa pale Kyaka mwaka 2009 nikielekea Uganda tukakutana nae pale ofisi ya Uhamiaji. Kwanza alituma wapambe wamgongeshee pasipoti yake, Maafisa Uhamiaji wa kile kituo wakagoma, wakasema lazima aje physically. basi jamaa akaja kwa spidi flani huku anajikongoja na gongo (inasemekana aliangukaga kutoka ghorofani akiwa usingizini huko Arusha) huku akilalalamika kama kakosewa vile. Akaja akanipita kwenye mstari akasimama mbele yangu. Na mimi sikumkopesha, nikashika shati nikamrudisha nyuma. Akaanza kuniletea umaarufu wake nikamwambia tulia kijana ntakutoa manundu.
hahahaha
 
mbona vibao havimtoshi!!!!! angemng'oa na meno
 
Chamilioner ujanja ni kumualika kwenye show na kumtembezea chupa za kichwa..... Aache kupenda mteremko mtoto wa kiume...... Halafu mamlaka zetu sijui kama wanampa support Majani.....
 
Chamilioner ujanja ni kumualika kwenye show na kumtembezea chupa za kichwa..... Aache kupenda mteremko mtoto wa kiume...... Halafu mamlaka zetu sijui kama wanampa support Majani.....
wamemzungusha mpaka akaenda USA ilipoandaliwa hiyo filamu
 
Maproducer wote wakubwa wangekua Na attitude Kama ya huyu jamaa bs mziki WA bongo ungekua na thamani Sana na wao wangekua vzur Sana kiuchumi
Sio producers tu watanzania wote kwaujumla, watz ni watu wakuamini sana uchawi na kumuachia Mungu kila kitu
 
Chameleon huwa mpumbavu sana, siku moja nikiwa pale Kyaka mwaka 2010 nikielekea Uganda tukakutana nae pale ofisi ya Uhamiaji akitokea kwenye Show Bukoba mjini.

Kwanza alituma wapambe wamgongeshee pasipoti yake, Maafisa Uhamiaji wa kile kituo wakagoma, wakasema lazima aje physically.

Basi jamaa akaja kwa spidi flani huku anajikongoja na gongo (inasemekana aliangukaga kutoka ghorofani akiwa usingizini huko Arusha) huku akilalalamika kama kakosewa vile.

Akaja akanipita kwenye mstari akasimama mbele yangu. Na mimi sikumkopesha, nikashika shati nikamrudisha nyuma. Akaanza kuniletea umaarufu wake nikamwambia tulia kijana ntakutoa manundu, akaufyata.
Lol
 
Sasa anadai hela kwa kujaribu kupigana nchi ya watu hawa watoto wa kulelewa na mzazi mmoja hovyo sana
 
Back
Top Bottom