Mke wa Jose Chameleone ashuhudia mmewe akitandikwa mabanzi na P-funk majani Kampala

Mke wa Jose Chameleone ashuhudia mmewe akitandikwa mabanzi na P-funk majani Kampala

Chameleon huwa mpumbavu sana, siku moja nikiwa pale Kyaka mwaka 2010 nikielekea Uganda tukakutana nae pale ofisi ya Uhamiaji akitokea kwenye Show Bukoba mjini.

Kwanza alituma wapambe wamgongeshee pasipoti yake, Maafisa Uhamiaji wa kile kituo wakagoma, wakasema lazima aje physically.

Basi jamaa akaja kwa spidi flani huku anajikongoja na gongo (inasemekana aliangukaga kutoka ghorofani akiwa usingizini huko Arusha) huku akilalalamika kama kakosewa vile.

Akaja akanipita kwenye mstari akasimama mbele yangu. Na mimi sikumkopesha, nikashika shati nikamrudisha nyuma. Akaanza kuniletea umaarufu wake nikamwambia tulia kijana ntakutoa manundu, akaufyata.


We jamaa inaelekea unapenda shari haha
 
Mi nilicheka alivyompa makofi Afande Sele, unajua sometimes watu wazima wanaweza kufanya mambo ya kunja mbavu kama watoto.
 
Back
Top Bottom