Alishafuata alikuwa anachangamsha viganja tu kupooza machungu.Asingempiga vibao, angefuata mkondo wa sheria tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishafuata alikuwa anachangamsha viganja tu kupooza machungu.Asingempiga vibao, angefuata mkondo wa sheria tu.
Nisaidie mkuuSijaona mahali anamtia vibao.
Daah umemtaja shigongo ...nimepishana nae hapa mori naona anawakiana na traffic kinoma..Mzee mzima ndani ya white voguehuyo jamaa tapeli kweli ..
Shigongo mwenywe alitapeliwa hapo
Hapana.amefanya sahihi.mtu amechukua si chini ya mil 150 za kibongo.kizembe.alaf anakuletea ujeuri.Mimi ningemla ndogo kabisa na mkewe.Asingempiga vibao, angefuata mkondo wa sheria tu.
kwenye maswala ya hela mtu alileta ujinga sio wa kumchekea, namshangaa Majani kwa kupotea muda wote huo mpaka kwenda US halafu anaishia kumkata vibaohehehe aisee
Kalipwa na Disney tiyari dollars 67,000 na mkataba wa chameleon wametaminatekwenye maswala ya hela mtu alileta ujinga sio wa kumchekea, namshangaa Majani kwa kupotea muda wote huo mpaka kwenda US halafu anaishia kumkata vibao
Nasikia bobi wine kachalaza mtujmn uganda kunani chamilion kala mbata toka kwa p.funk na bob wine naye bungen katembeza kipigoooo haaaa
Ni mtemiBad boy Majani toka kitambo
Wengine man water ni water kweliMajani na Master Jay ni maproducer pekee wenye akili bongo, na wameweza kunufaika na kazi zao kutokana na kujitambua kwao
Unajua hata jina la mwanayeBaba paula mbabe
Kabisa umwambie tumefurahi sanaBig Up Majan ngoja nije kukutembelea hapo Bamaga