Mke wa Kafulila abadili jina lake facebook

Mke wa Kafulila abadili jina lake facebook

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Mbunge wa viti maalum Chadema ambaye pia ni mke wa David Kafulila Mh Jesca Kishoa amebadilisha jina kwenye profile yake badala ya kuwa #Jesca_Kishoa_Kafulila na kuwa #Jesca_Kishoa mi sijaelewa maana yake!

1512d5e7df95c8ceec3529687965a531.jpg
 
Njaa hizi tunapoziendekeza zitaharibu hata mahusiano mazuri katika familia zetu. Jee ndugu, jamaa na marafiki nao wanalichukuliaje jambo hili ingawa ni la binafsi?
Ikumbukwe kuwa hata shetani anapokushauri utende jambo baya huwa hafikirii utawaumiza wanaokuhusu kiasi gani.
 
Aisee kweli Siasa haina rafiki wa kudumu au adui wa kudumu, ngoja waje na sababu za kubadili jina wanao jua
 
Huyo dada akikubali pressure za siasa kuharibu ndoa atakua hajui ndoa ni nini na atachuma dhambi bure ya kuvunja sakramenti ya ndoa. Asichukulie siasa kuwa maisha kwa kiwango hicho. Naamini hili halitawayumbisha ....akajifunze kwa Mama Lowasa na hasa kama ilikuwa rahisi kwake kuungana na mzee kwenda Chadema.
 
Assume kwamba Kafulila amewekewa mzigo mezani na ahadi nyingi ili ajiondoe huko , akaenda kushauriana na mkewe. Mkewe akamkatalia suala hilo, wakaendelea kubishana sana. Kafulila akasisitiza namna ofa hiyo ilivyo muhimu kwake hasa kipindi hiki ambacho hana kipato cha kueleweka, bado mke wake akagoma, then Kafulila akaamua kuendelea na maamuzi yake.
Hapo nani anakua amebebwa na upepo wa siasa
 
Analinda ugali kwa masharti ya boss kufuta jina la mume ili asionekane msaliti
 
Kwann kafulila apewe ofa kipindi hichi ambacho hana faida wala kikwazo kwa chama tawala. Vipi nyalandu nae alipewa sh ngap kuhami cdm?
Assume kwamba Kafulila amewekewa mzigo mezani na ahadi nyingi ili ajiondoe huko , akaenda kushauriana na mkewe. Mkewe akamkatalia suala hilo, wakaendelea kubishana sana. Kafulila akasisitiza namna ofa hiyo ilivyo muhimu kwake hasa kipindi hiki ambacho hana kipato cha kueleweka, bado mke wake akagoma, then Kafulila akaamua kuendelea na maamuzi yake.
Hapo nani anakua amebebwa na upepo wa siasa
 
Waacheni wafu wazikane,

Kama binadamu lazima uwe na unachokisimamia na usiyumbishwe na maneno,cheo au pesa

Hivi vitu vinatucost sana mioyo yetu inajuta daily
 
Mke mwema ni yule anapoona umejiunga na shetani ambaye kila siku mlikuwa mnamkemea kwa maombi anakuonyesha hakuungi mkono ikiwa ni pamoja na kukunyima unyumba.
Nenda hukohuko shetani akakupe unyumba![emoji33] [emoji33]
 
Kwenye KULA hakunaga "mwili mmoja" sheikh wangu kila mtu ana tumbo na njaa yake. Grace Mugabe si unamuona kasepa kwa babu. Tumbili dume ndio huyo kaona shamba jipya.
 
Back
Top Bottom