Mke wa Kafulila abadili jina lake facebook

Mke wa Kafulila abadili jina lake facebook

Njaa hizi tunapoziendekeza zitaharibu hata mahusiano mazuri katika familia zetu. Jee ndugu, jamaa na marafiki nao wanalichukuliaje jambo hili ingawa ni la binafsi?
Ikumbukwe kuwa hata shetani anapokushauri utende jambo baya huwa hafikirii utawaumiza wanaokuhusu kiasi gani.

Kwanini unawaza njaa. Who told you. Kwanini unamuwazia mtu. Hasa tu akitofautiana na wewe Kwanini usiwaze kwamba kahama kwa kuwa matarajio hakuayaona. Nia ya Vijana wengi humu ni EVIL. Yani kupinga kwa kupinga. Watu kama nyie mtakuja kuiweka Tz Katika mauaji hamheshiimu Watu. Vipi „Mugabe „ ana miaka miangapi ya UCHAIRMAN. Mbona hamtengenizi hoja kuhoji ya kwenu kujenga CHAMA NA DEMOKRASIA YA KWELI. Why Huwezi Jenga familia yako kwa kukalia majungu ya Familia ya jirani.
 
Nimeongelea ccm na cdm na si serikali na cdm. Maana cdm pia wana ruzuku u know zinazoweza kuchotwa muda wowote kuwalipa watu wahamie upande wake
atakuwa amechukizwa na tabia ya mumewe.
 
Ali delete hilo jina kwa bahati mbaya, sema ndio basi tena hawezi kulirudisha.
 
Kukosa uvumilivu kutawagharimu vijana wengi Tanzania. Kama unataka kujenga nyumba imara sharti ujenge msingi imara.
 
Njaa hizi tunapoziendekeza zitaharibu hata mahusiano mazuri katika familia zetu. Jee ndugu, jamaa na marafiki nao wanalichukuliaje jambo hili ingawa ni la binafsi?
Ikumbukwe kuwa hata shetani anapokushauri utende jambo baya huwa hafikirii utawaumiza wanaokuhusu kiasi gani.
Nani ana njaa sasa?
 
Uziri wao hawa wote walikutana wakiwa ni wanasiasa hivyo kila mmoja wao ana weza kuendelea na maisha yake ya kisiasa bila yoyote kuathirika na maisha yake ya kisiasa
 
Nimeongelea ccm na cdm na si serikali na cdm. Maana cdm pia wana ruzuku u know zinazoweza kuchotwa muda wowote kuwalipa watu wahamie upande wake
Chadema siyo sawa na CCM hao unaowasikia wanahama walitegemea kuna ulaji .kwa hiyo huo uzushi unaosema kwamba Chadema kuna ruzuku inayotumiwa tu hovyo ni uongo wa kutupwa .Serikali ya CCM inatamani Chadema ife na siyo kuwapa ruzuku ya kununua wanachama na kuzidi kujiongezea umaarufu.
 
Mbunge wa viti maalum Chadema ambaye pia ni mke wa David Kafulila Mh Jesca Kishoa amebadilisha jina kwenye profile yake badala ya kuwa #Jesca_Kishoa_Kafulila na kuwa #Jesca_Kishoa mi sijaelewa maana yake!

1512d5e7df95c8ceec3529687965a531.jpg
Kwa tabia za tumbili alivo atakuwa mkorofi sana kwenye ndoa, na ukute hata shughuli hawezi, tumbili anachoweza ni kudana kwenye miti tu
 
IYO PINI ALIYO POST HUELEWI MAANA YAKE, IYO HUWA INATUMBUA MAJIPU SASA KAZI KWAKO KUPATA TAFSIRI ILA UKAE UKIJUA KWAMBA WAPO WAKE WENGINE HUWA WANATAKA MSHIRIKISHANE NA MKUBALIANE KUHUSU MAAMUZI FLANI
 
Huyo dada akikubali pressure za siasa kuharibu ndoa atakua hajui ndoa ni nini na atachuma dhambi bure ya kuvunja sakramenti ya ndoa. Asichukulie siasa kuwa maisha kwa kiwango hicho. Naamini hili halitawayumbisha ....akajifunze kwa Mama Lowasa na hasa kama ilikuwa rahisi kwake kuungana na mzee kwenda Chadema.
Huenda ndoa ilishaharibika zamaaaaani limebaki jina tu,na huenda hata hyo kuhama inachembechembe za kuhamasisha utengano,
Shika hili muda utafumua meeengi na utaskia,
 
Kubali ukweli chadema inajiua yenyewe kutegemea kupokea wanachama wa ccm na kuwapa vyeo vikubwa wakiwatupa waliohangaikia chama kikiwa kichanga.

Cdm ruzuku wanaipata ila wanachezea kwa kesi za kubumba ili kuzidokoa vizuri kisingizio kulipa mawakili wa chama.
Chadema siyo sawa na CCM hao unaowasikia wanahama walitegemea kuna ulaji .kwa hiyo huo uzushi unaosema kwamba Chadema kuna ruzuku inayotumiwa tu hovyo ni uongo wa kutupwa .Serikali ya CCM inatamani Chadema ife na siyo kuwapa ruzuku ya kununua wanachama na kuzidi kujiongezea umaarufu.
 
Kuhama vyama vitatu..kwa kipindi kisichozidi miaka 5...,hapo ndio unatakiwa kuanza kumtafakali kafulila...kama ni kiongozi au mchekeshaji...maana tangu aliposifiwa na rais..ajaonekana kabisa...mpaka leo..tunasikia kajivua uanachama...kwel kazi
Chunguza tabia za watu wa kigoma utagundua kitu,siyo watu wa kuwaamini kabisa ni wa asili ya kukengeuka na kuzungukana sana,nimeishi kule najua nnachosema,
Chunguza tu wanasiasa wao,asilimia kubwa wapo hvyo,wachache sana ni wa misimamo ya kudumu
 
Back
Top Bottom