Assume kwamba Kafulila amewekewa mzigo mezani na ahadi nyingi ili ajiondoe huko , akaenda kushauriana na mkewe. Mkewe akamkatalia suala hilo, wakaendelea kubishana sana. Kafulila akasisitiza namna ofa hiyo ilivyo muhimu kwake hasa kipindi hiki ambacho hana kipato cha kueleweka, bado mke wake akagoma, then Kafulila akaamua kuendelea na maamuzi yake.Huyo dada akikubali pressure za siasa kuharibu ndoa atakua hajui ndoa ni nini na atachuma dhambi bure ya kuvunja sakramenti ya ndoa. Asichukulie siasa kuwa maisha kwa kiwango hicho. Naamini hili halitawayumbisha ....akajifunze kwa Mama Lowasa na hasa kama ilikuwa rahisi kwake kuungana na mzee kwenda Chadema.
Assume kwamba Kafulila amewekewa mzigo mezani na ahadi nyingi ili ajiondoe huko , akaenda kushauriana na mkewe. Mkewe akamkatalia suala hilo, wakaendelea kubishana sana. Kafulila akasisitiza namna ofa hiyo ilivyo muhimu kwake hasa kipindi hiki ambacho hana kipato cha kueleweka, bado mke wake akagoma, then Kafulila akaamua kuendelea na maamuzi yake.
Hapo nani anakua amebebwa na upepo wa siasa