Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Ndoa ikivunjika atakuwa chakula cha makamanda[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji125] [emoji125]Kaikimbia aibu ya kutumia jina Kafulila, soon utasikia Ndoa imevunjika
Chakaza, Mkuu kama ni Usaliti kwanini hakuukemea toka alipotoka NCCR kwenda Chadema, ila ni anapotoka Chadema tu? Au Credibility huwa inashuka tu unapotoka Chadema?Kuna wanawake wanaamini kuwa waume zao wanajigeuza kitandani sio kwenye kauli zao. Hivyo ukigeuza kauli unashudhiwa credibility yako na kudharauliwa naye pia anajisikia vibaya kukuamini usiyeaminika
Kama huyo mama kaamua kumsusa mume wake sababu ya political motives sina cha kusema ila maandiko (Mungu mwenyewe) ndio mhukumu lakini ukishaapa Kanisani umeapa mbele za Mungu ....huwezi kuvunja kiapo kwa motives za kisiasa! Kafulila angesaliti ndoa Kishoa angemsamehe? In short huyu mama ameshindwa kubeba pressure za akina Lema ....ila atakuja kujua makosa anayofanya ....ugomvi wa ndani unahamia hadi mitandaoni? Hapo Kafulila kamuoa Kishoa au Chadema? Acheni kuchukulia siasa too personal kiasi hiki .....mtachukiana wote kadri muda unavyoenda ...Mke mwema ni yule anapoona umejiunga na shetani ambaye kila siku mlikuwa mnamkemea kwa maombi anakuonyesha hakuungi mkono ikiwa ni pamoja na kukunyima unyumba.
Nenda hukohuko shetani akakupe unyumba![emoji33] [emoji33]
Huoni tofauti hapo mkuu? Unadhani angetoka Chadema na kwenda ACT au hata UDP kungekuwa na maneno? Kwa sababu wote hao malengo yao ni mamoja, kupambana na udhalimu wa chama tawala.Chakaza, Mkuu kama ni Usaliti kwanini hakuukemea toka alipotoka NCCR kwenda Chadema, ila ni anapotoka Chadema tu? Au Credibility huwa inashuka tu unapotoka Chadema?
Nikweli Mkuu hilo ni tatizo, lakini kwa Siasa hizi tunazoshuhudia sasa naamini Wanasiasa wengi wao washafanya kuwa Siasa ni ajira hivyo kwao kwanza ni Masilahi then ndo inakuja political affairs., tuliowaamini wengi wamekengeuka kiasi hata sisi Walalahoi tunaosubiri kukombolewa imani yetu imepungua kutokana na Siasa uchwara hizi tunazoshuhudia ukizingatia safari bado ni ndefu!!!Huoni tofauti hapo mkuu? Unadhani angetoka Chadema na kwenda ACT au hata UDP kungekuwa na maneno? Kwa sababu wote hao malengo yao ni mamoja, kupambana na udhalimu wa chama tawala.
Ni kama mtu kuhama dhehebu la dini tuu lakini malengo ni kumpiga vita shetani, sasa mtu huyo akihamia kwa shetani kabisa na kusema eti siku hizi shetani kawa mwema itashangaza! Lini ccm imebadilika?
hivi jina "Kafulila" maana yake nini?Mbunge wa viti maalum Chadema ambaye pia ni mke wa David Kafulila Mh Jesca Kishoa amebadilisha jina kwenye profile yake badala ya kuwa #Jesca_Kishoa_Kafulila na kuwa #Jesca_Kishoa mi sijaelewa maana yake!